Ikifika 2027 tutakua tayari tumeshakamilisha ujenzi wa airport za kimataifa 2 .. Msalato international airport+ Mwanza international airport. Ambapo taifa letu la Tz litakua na viwanja vitano vikubwa vya kimataifa ambavyo ni
1.JNIA
2.MIA
3.Msalato international airport
4.Abeid Amani Karume international airport
Kilimanjaro international airport
Kwa viwanja nimetaja hapo juu in comparison to kunya's airports ni JKIA pekee ndio inaweza kaa kwenye sentence moja na hivyo viwanja.
mwaiofhawaii just to let you know