babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,458
- 36,110
Nyie ni wanasiasa mufilisi (kama Nyerere alivyosema). Mmetumwa mitandaoni kusambaza uongo kwamba wote wanaompenda Magufuli ni Wasukuma au kanda ya ziwa.
Mimi huniambii kitu mbele ya Magufuli na ni Mchagga pure. Msitake kutuharibia nchi yetu kisa mnamchukia Magufuli kwa kuwabana na kuwakomesha mafisadi na vibaraka wa mabeberu.
Mmemsingizia vyote vibaya alivyokuwa hai (anaua dikteta nk) lakini Watz si wajinga kama mlivyodhani hawakusikiliza uongo wenu. Mmeamua kuongezea uongo wa Ukabila na mtaendelea kushindwa!
Eti jamani. Watu wengi sana wamekufa kwenye mazingira ya kutatanisha mbona hatusemi SH kawauwa?Mwanza na Nyanda za juu kusini kuna watu wamekutwa wameuwawa na wasio julikana, je tuseme anayehusika na hayo mauaji ni SH kama walivyo kuwa wanamsingizia JP awamu iliyopita!
Tatizo ni elimu haijawasaidia hawa watu, walienda shule kupata vyeti vya kutafuta ajira lakini hawana uwezo wa kuchakata mambo kwa undani, ni shida Sana kwakweli. Ila tusichoke kuwapa elimu, watajikomboa kutoka katika huo ujinga walionao.Nyie ni wanasiasa mufilisi (kama Nyerere alivyosema). Mmetumwa mitandaoni kusambaza uongo kwamba wote wanaompenda Magufuli ni Wasukuma au kanda ya ziwa.
Mimi huniambii kitu mbele ya Magufuli na ni Mchagga pure. Msitake kutuharibia nchi yetu kisa mnamchukia Magufuli kwa kuwabana na kuwakomesha mafisadi na vibaraka wa mabeberu.
Mmemsingizia vyote vibaya alivyokuwa hai (anaua dikteta nk) lakini Watz si wajinga kama mlivyodhani hawakusikiliza uongo wenu. Mmeamua kuongezea uongo wa Ukabila na mtaendelea kushindwa!
Anzisha thread ya hayo mambo.. wenye comments/hoja zao watawafata mchuane hukohuko.. kila mwezi mnayaongelea hayo humu lkn halimdhiki au hammalizi hizo hoja/utashi/nyongo zenu.. huku sio mahali pa kuyaongelea haya tafadhari.. na siwazuii kuyaongelea humu lkn huku sio mahali pakeKwahiyo unataka kusema Magufuli hakuwa Mkabila? Tutajie kijiji kingine Tanzania kilicholazimishiwa $1 bln ya uwekezaji usio na tija kama Chato!
Sitaki kuamini hawa watu ni wajinga kiasi hicho. Wanajifanya wajinga kuendeleza ajenda zao. Wametumwa ndio maana unakuwa kama unabishana na roboti, (bora maroboti wanajifunza) hata umueleze nini hakujibu kwa hoja.Tatizo ni elimu haijawasaidia hawa watu, walienda shule kupata vyetu vya kutafuta ajira lakini hawana uwezo wa kuchakata mambo kwa undani, ni shida Sana kwakweli.
Eti jamani. Watu wengi sana wamekufa kwenye mazingira ya kutatanisha mbona hatusemi SH kawauwa?
Mwaka 2019 kuna uonevu nilitaka kufanyiwa na watu fulani nikaelezwa ni maagizo kutoka Ikulu. Haikuwa kweli na hao watu walifukuzwa kazi moja kwa moja baada ya kutoa malalamiko yangu sehemu husika.
Kwahiyo ningeanza kulalamika kila mahali Magufuli mbaya, muonevu etc kisa nimekutana na watu waliotaka kutumia jina lake kufanya maovu?
Yes na wanafanya hivyo kwa kuwa wanafaidika na udhaifu wa huyu wa sasa.Udhaifu wa CEO wa sasa wanauficha kwa kumchafua CEO aliyepita.
Yes na wanafanya hivyo kwa kuwa wanafaidika na udhaifu wa huyu wa sasa.
Wanaosha pesa mnooo.Ni mwendo wa kuosha pesa kwa speed ya ngiri.
We drive from Airport to Westlands within 15 minutes using expressway, saving more than 2hrs ,is that not life changing 😁Kumbe imechange face of Nairobi bt not life of nairobians
Capitol Lilongwe ni mmoja wapo unataka mwingineHiyo miji mikuu yote iliyozingatia kutenganisha ofisi za serikali na makazi ya watu ni ipi?
Shukrani sasaMkuu, karibu Sana jamvini, nimeangalia account yako, umeweka posts mbili tu na umepokea "like" Moja ambayo imetoka kwangu. Karibu sana mkuu.
Hunipangii wapi pa ku-post kama mnavyoshangilia kifo cha Membe na sie tunagonga humohumo the pioneer of Sukumagang's hate ni mkabila na muuaji wa Ben Saanane, Azory Gwanda na pia jaribio la mauaji la Tundu Lissu, ukiacha diwani wa CHADEMA Morogoro mnyongaji Marehemu Magufuli!Anzisha thread ya hayo mambo.. wenye comments/hoja zao watawafata mchuane hukohuko.. kila mwezi mnayaongelea hayo humu lkn halimdhiki au hammalizi hizo hoja/utashi/nyongo zenu.. huku sio mahali pa kuyaongelea haya tafadhari.. na siwazuii kuyaongelea humu lkn huku sio mahali pake
Ninakupata vizuri Sana, hili ni tatizo kubwa Sana, sio Tanzania tu, watu wa aina hii ndio wengi katika nchi hizi za dunia ya tatu.Sitaki kuamini hawa watu ni wajinga kiasi hicho. Wanajifanya wajinga kuendeleza ajenda zao. Wametumwa ndio maana unakuwa kama unabishana na roboti, (bora maroboti wanajifunza) hata umueleze nini hakujibu kwa hoja.
You can never have an intelligent discussion with these people they'll always use irrelevant issues like fictitious tribalism to scapegoat and pretend they have valid points of concern.
Endelea kutapatapa wewe mfamaji..Hunipangii wapi pa ku-post kama mnavyoshangilia kifo cha Membe na sie tunagonga humohumo the pioneer of Sukumagang's hate ni mkabila na muuaji Magufuli!
Ndio maana hatuendelei. Hawa watu hawana uchungu hata kidogo na nchi yao.Ninakupata vizuri Sana, hili ni tatizo kubwa Sana, sio Tanzania tu, watu wa aina hii ndio wengi katika nchi hizi za dunia ya tatu.
Sasa nchi ikiwa na watu Kama hawa hata kwa 25%, kweli kutapatikana maendeleo?. Hawa ndio watanzania wachache waliosoma, wakirudi vijijini jamii inawaamini kwa Kila wanachosema kwasababu ni wasomi.