Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Moja ya Miji itakayokuwa mizuri ni Kigoma,Haina uswazi na kuchelewa kupata miundombinu kumeisaidia kupata miundombinu Bora na makazi ya Kisasa..

Kigoma kunajengwa BoT tawi la Magharibi
Kigoma kunajengwa Hospital Kanda ya Magharibi
Kigoma inajengwa miundombinu aina zote kuanzia upanuzi wa Bandari,ujenzi wa Sgr na station yake,Barabara za Kisasa tena Zenye underpasses nk
 
Kwanini Kenya inadharaulika hivi?

Screenshot_20230512-063502.jpg
 
Back
Top Bottom