Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Nimetoka Bank right now ,Ksh.ni 15.7![]()

hadi mwaka ukiisha hiyo pesa itakuwa 8
Nimetoka Bank right now ,Ksh.ni 15.7![]()

hadi mwaka ukiisha hiyo pesa itakuwa 8Najua unavyoandika hicho Kiingereza cha ugoko unajiona kama vile mzungu aliyeelimika kumbe ni mpuuzi tu usiyejielewa; ha ha ha. Nyang'au wewe🤣🤣🤣Why are you craving for my attention?…. And please on a good note, get a new set of Swahili vocabulary… you sound illiterate 🤣🤣
Tahmed ni Kampuni ya kitanzania iliyowekeza kenya na TanzaniaKwan ukisema tahmeed inakuajeni za tahmeed so?? nonsense
Nafaham but hzo bus kanunua kutoka master ya usajili wa kenya means ni za kenya sio za tanzania nilitaka ajue hiloTahmed ni Kampuni ya kitanzania iliyowekeza kenya na Tanzania
Hizi Bodaboda na vituktuk ndio legecy ya Kikwete. Zingepigwa marufuku kwakweli!