Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cult 1 3.jpg
 
Wakenya huwa wanadhani sisi ni size yao kabisa, hawajui kama GDP ya Tz ni kubwa kuliko yao na ndiyo maana tunawaonesha kwa vitendo.
Tukiwaambia namna projects zetu zinakwenda kutuheshimisha wanadhani tunapiga sound, sasa maskini yao kila jambo linakwenda so precisely tena ndani ya muda mfupi sana. Mi nadhani kufika 2025 tutakuwa tumebaki peke yetu humu, hata kama tunajua hawa jamaa zetu mishipa yao ya aibu ilishakatika lakini fedhea inayowakumba humu inataka moyo wa jiwe kuendelea kubishana na reality. Hakika nimeamini Time Is the Best Teacher.
 
Tuliwaambia mda mrefu kwamba itafika kipindi tutabaki pekeetu humu tupeane vitasa wenyewe kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom