Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I used to lived in OP, so I'm very familiar with the area. You know well, it doesn't look like Nairobi.
Have you ever been to rich suburbs of Nairobi?…. I mean in Nairobi not Osterbay… if so, tell me how Overland Park is better than let’s say Runda or Kitsuru…. And please don’t be biased….
 

Attachments

  • 342FAF0F-CC10-4561-9644-3B129D53E22B.jpeg
    342FAF0F-CC10-4561-9644-3B129D53E22B.jpeg
    172.2 KB · Views: 10
Have you ever been to rich suburbs of Nairobi?…. I mean in Nairobi not Osterbay… if so, tell me how Overland Park is better than let’s say Runda or Kitsuru…. And please don’t be biased….
Since you guys like to talk about GDP all day, can you really compare the GDP (standard of living) of these two places?
 
Majamaa wa domo domo leteni data husika tuchambue hizi vitu si kurusha mdomo kenya this kenya that kutoka asubuhi hadi jioni

Data hata ziwe nzuri vipi kama hazi reflect kwa ground za nini?

Unajua hii picha ilitrend nyuma huko miaka ya 2018 ? Japokua tukio halikua shida ya Chakula ( Ugali) lakini kwa jinsi ilivyokua Kwenye Headlines na Title kibao kama MAN SAVES UGALI, THE UGALI MAN etc ilishangaza wengi.

Miaka mitano baadae (2023) Mnaandamana kwa ajili ya Ugali mnasimamisha shughuli kibao muhimu za uchumi hadi makao makuu ya Nchi.

Na mmefumbua watu macho zaidi maana Mazingira, na hali za hao watu wenu ambao ni Skilled human labor haziendani kabisa. May be hii skilled human labor force imefocus na vitu vingine visivyo na manufaa kwenu? Ila sifa tu ya kuwa na skilled human labor ndio muhimu? What a loss.

Mtasema mbona ulaya nao wanaandamana, Je hata kama ni hali ya maisha ni sawa na yenu?
 
Back
Top Bottom