
Skilled human nye nye! Hiyo angular English yao ndio inawafanya wajihisi skilled?
. Skilled human ipo service economy lakini wao wana sifa zote za Ujima. If you take Kibera outta your mindset, am talking of Runda, Lavington, Riverside, Muthaiga etc… If you have been for example to Lee’s Summit suburb of Kansas City you would understand my point but since you haven’t, you are just criticizing to satisfy your ego…. typical Bongolala….Si kwa jiografia wala "vibes", hiyo miji haifanani kabisa na Nairobi.
Lakini pamoja na skilled human + shaka hola kwa ground ni pain tupu hawatuwezi TanzaniaSkilled human nye nye! Hiyo angular English yao ndio inawafanya wajihisi skilled?
I want to you to google Kihingo village , Nairobi… search for photos…. Post them here and I will post homes in Kansas City that are replica of Kihingo…except garage doors…. You wanna bet?… that’s just one example… maybe you can say Kenyans copycat America in some aspects…. I know now you will twist my statement to satisfy your ego but please proceed…. Be my guest.Si kwa jiografia wala "vibes", hiyo miji haifanani kabisa na Nairobi.
Du, wamechoka mpaka nywele ,ligi hafifunajua majirani wanajua ila wamejikausha kimya kama hawajui vile.
wiki hii mobile broadcast facility ya azamtv pamoja tv crew yake kutokea dar es salaam, itavuka boda ya namanga kwenda kenya kurusha matangazo ya live ya mashemeji derby kati tusker fc vs kariobang sharks na gormahia vs afc leopard.
azam tv inapiga kazi ndani na nje ya tz.
View attachment 2616461
Ha haaa,Huyo mzee wa vibes sijui ni nani alimpa vibes ujue binafsi anatia mashakaSi kwa jiografia wala "vibes", hiyo miji haifanani kabisa na Nairobi.