Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Toa ujinga hapa bongolala. That was during installation before maua yapandwe. Ama unafikiri zingehanga kwenye hizo pillars kama popo bila support?
Maua yapo na zinaendelea kuwepo View attachment 2610643
Hebu tuoneshe ziko wapi na hii ni video ya 3 days ago ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Namba za gari zenu mmefika lini XZD!
Maisha yenu ni full uongo uongo pumbav.

View attachment 2610362
So just because nimechanganya picha mnataka kuniua? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuna wakati moja wenu alichanganya picha na kusema hapa ni Dar wakati hapo ni Nairobi. It happens bongolalas
 
Mm kila siku nawaambia hua munaona kama nawaonea vile kwenye maneno 100 ya mkenya yoyote duniani chukua moja na hilo moja uende ukalitafakari vzr na ukiondoka usigeuke nyuma hata sekunde [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ใ€‚
 
Halafu mbona unachukulia Poa hizo manispaa mzee. Hiyo ni miji yenye hadhi na watu wanaishi maisha mazuri ,
Hawana njaa kama huko cundustan , angalia mazingira ya iringa kwa mfano

Wa manispaa wataishije maisha mazuri kama wa Dar jiji kuu ndio wanaishi uswazi hovels?
 
Hapo nimeona tu uwanja moja. Hiyo ya Songea Maji maji. Hayo mengine ni vituko tu
 
Wewe Wacha maneno mengi, tafadhali ninaomba link inayoonyesha thamani ya bidhaa za viwanda Kenya iliuza nchi za nje mwaka 2022, Mimi ninaweka za Tanzania hapa, Wacha kuokota picha za nchi zingine ukidanganya ni Kenya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja nikupunguzie kazi, Kama umeshindwa kuleta data za manufactured goods za 2022, basi lete data za Exports zote za Kenya mwaka 2022, tulinganishe na Tanzania, tuone nani ni dume hapa EA, hizi hapa za Tanzania.
Wakenya wengine mnaweza kusaidia, lengo ni kutaka kujua nani ni kidume hapa mtaani.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Isikose hata mwalimu wako alikuwa na muda ngumu sana nawe darasani. You must have been a dunderhead, no offense.

Nimekupa ripoti ya WB inayosema kwamba 30% of all goods that Kenya exported in 2021 were manufactured goods. Sasa huwezifanya hesabu rahisi ya kujua hiyo 30% represents what value/quanity? Wacha kuwa mbishi mjinga. Heri mtu awe mbishi lakini mwerevu
 
Wewe jinga kabisa, Mimi sitaki maneno. Hapa Afrika Ukiacha South Africa na Egypt, hakuna nchi yoyote ambayo manufactured goods inafikia 20% ya exports

Kenya's top export yake ni tea ambayo thamani yake ni $2.6B kwa huo mwaka 2021, Sisi huku ni Gold ambayo inakaribia $4B, Wacha kudanganya watu, wewe ni mwongo Sana, ndio sababu unashindwa kuonyesha "real figure", badala yake unatumia maneno matupu.

Sasa weka data za total value of exports za Kenya 2022, tulinganishe na Tanzania
Sikuachi hadi ukubali kwamba Tanzania ndio dume la mbegu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 

Hivi vitu viko nje ya uwezo wake mdogo wa kufikiri, aendelee kuiba picha za wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ