Lete picha mpya ya hilo eneo usiongee maneno matupu.That was during construction time bongolala. Ama wewe unafikiri hiyo ilishushwa kutoka mbinguni?
Vitu vingi vipo Dar na havipo Nairobi na hamtakuwa navyo, unataka ushahidi.Kama gani Nairobi?
Na hii sio CBD ni over 10 km from CBD 👇👇Uhuru is a beauty
Watanzania do you have recreational parks in Dar is slum? View attachment 2607638View attachment 2607639View attachment 2607641
Unaweza kunitajia japo development moja iko Nairobi na haipo Dar? Then mm nitakutajia development iliyopo Dar huko haipo.Wivu gani wakati Nairobi such development zimejaa kila corner wala hakuna anayeshtuka kuziona kama mnavyoshtuka?
Onesha sehemu ile ile wacha ujinga.Panguza nyege kwa vitu uzivyoelewa.
Even the lower/outer sections are being recarpeted na mfano ndio huu hapa of the completed sections View attachment 2607647
GDP imeshindwa kucover hii aibu
Kama brt najua mmezoea sana..mumuuManaake ni kwamba we are not on the same level. Yale maendeleo mnashangazwa nazo ssasa sisi tumeyazoea kitambo sasa.
ndo nani?
Kabisa mkuu,Hawa jamaa Hovyo sanaUmeona enheee!
50%?? yan nusu ya tweets zake zote anazungumzia kenya???Ila mnafuatilia Kenya Sana. Tweet za huyo msee 50% Ni about Kenya.🤣
Hapo umemfinya makende vizuri huyo nyang'au 🤣🤣Lete picha mpya ya hilo eneo usiongee maneno matupu.