Hii ni laana walioachiwa na kenyatta kujisifia uongo na kudanganya dunia 🤣🤣🤣🤣50%?? yan nusu ya tweets zake zote anazungumzia kenya???
Hiv hii tabia ya kujikweza na kudanganya-danganya nan aliwaanzishia?
Kwa tabia hii.. nikimkuta mkenya mbinguni nawaambia wapitie file yake tena mana wakenya wote ni waongo😂
Ni kitu cha ajabu sana kwa mtanzania kusikia kuna nchi inaweza kuandamana sababu ya unga wa ugali chakula cha mlalahoi😂😂😂Ila mnafuatilia Kenya Sana. Tweet za huyo msee 50% Ni about Kenya.🤣
Zungumza kuhusu hiyo aibu, Wacha kukwepesha nada kuuIla mnafuatilia Kenya Sana. Tweet za huyo msee 50% Ni about Kenya.![]()
Shiida..shiida na wewe, mateso na wewe, bahati mbaya na wewe...Pro box imebeba chakula cha fuvu za wakenya
That’s how you know Kenya is the Regional Kong since you follow every little detail inside the county. I see Kenyan news here that I don’t even get in Kenya…… reminds me of Mexico as pertains to the USA … just like Tanzagiza… they dwell on every detail of their superior neighbor… yet America don’t give a hoot about whattabout in Mexico ( maybe cartels)….. can you imagine if Kenya was to be nosy like her inferior southern neighbor?… how many shitty show stories about Bongo can we write about?… the list is endless. Period.Zungumza kuhusu hiyo aibu, Wacha kukwepesha nada kuu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
In Kenya, unga is metonymy for food. And yes, people demonstrate when food prices suddenly rise all over the world where governments are not authoritarian like in your country.Ni kitu cha ajabu sana kwa mtanzania kusikia kuna nchi inaweza kuandamana sababu ya unga wa ugali chakula cha mlalahoi😂😂😂
Ninyi ni watu masikini na walalahoi, unga wa buku jero (1.5k) ni kitu cha kuandamana kama sio umasikini uliokubuhu ni nini? serikali yenu badala ya kuhangaika na miundombinu na mambo ya maana imeenda kukopa pesa ya kusubsidize unga eti uwe 1.2k tsh hahaha and now you're happy!In Kenya, unga is metonymy for food. And yes, people demonstrate when food prices suddenly rise all over the world where governments are not authoritarian like in your country.