Wewe ulitoroka tulipokuomba data za export za bidhaa za viwandani za Kenya Ili tulinganishe na Tanzania.stop beating around the bush. Hapa tunaongelea nyoka aliyegeuka ghafla na kuwa gheko
Sisi hatutokopa tena enough is enough😆😆
Miji ya Tanzania Kwa Sasa imekua sanaKumbe Mtwara nayo haijakaa kinyonge kama nilivyokuwa nagifikiria
View attachment 2606531
View attachment 2606532
View attachment 2606533
View attachment 2606534
View attachment 2606535
Wewe ulitoroka tulipokuomba data za export za bidhaa za viwandani za Kenya Ili tulinganishe na Tanzania.
Ninakupata nafasi ingine ya kujitetea, lete kiwango Cha nyama mlichosafirisha nje kwa mara ya mwisho tulinganishe
Note: Tanzania is a net exporter, Kenya is a net importer.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ninaomba data za 2022/2023, nchi zinakwenda mbele hazirudi nyuma, tunajua uchumi wa Kenya unarudi nyuma Sana, zamani ulikua inafanya vizuri kuliko sasa. Pia ninasubiri value of your manufactured goods exported last year please, Fanya haraka.Eti nilitoroka?
Unafikiri wengine wetu tunashinda humu 24/7 kama nyinyi?
About manufactured goods export, kaa kitako taarifa utaipata. Kwa sasa, wacha nikunyamazishe na export yetu ya nyama data ya 2018 ndio ujue nani baba lao hapa EA.
This is the quantity of meat Kenya exported in 2018.
Kenya Meat exports quantity, 1961-2023
www.google.com
Yani kiwango mlichoexport in 2023 bado haiguzi what we exported three years ago by more than 7,000 tones!!. Stick to your lanes bongolalas,