Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati wenzetu wanafurahishwa na chinese imported buses, sisi tupo proud na our assembling industry
View attachment 2604503View attachment 2604504View attachment 2604505View attachment 2604506View attachment 2604508View attachment 2604513
Hapo ndo unapopata kujua mentality ya hizi nchi mbili
Meanwhile, basi la kichina kule bongo hapo jana
View attachment 2604517
Mabasi ya Tanzania
20230422_114439.jpg
20230419_153158.jpg
20230427_104436.jpg
20230427_105531.jpg
20230427_105741.jpg
southern_buses_1682776527407967.jpg
buses_nation_tanzania_1682770095809992.jpg
all_tanzania_buses_1682603083739391.jpg
 
Kwenye hili Ruto kaongea ! Tuache ujinga!
Lakini yeye binafsi Kila siku kiguu na njia Yuko hukohuko kwa wazungu kuomba misaada, asiwe mnafiki hafai kusikilizwa. Hivi Sasa tunavyozungumza Kuna zaidi ya mawaziri watatu wa Kenya wapo nje ya nchi kwa kisingizio Cha kutafuta "investors', kwanini wasitulie nyumbani Kama Magufuli?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kapewa msaada wa chakula na pia mkopo wa mishaahara mbona asikatae?
 
Kenya wana tuzo gani kwa africa ??😆😆
Manake hzi tuzo ni za africa nzima mpaka wasanii kutoka south africa na nigeria wanapata wao wana tuzo gani zaidi ya kulilia unga
 
Kapewa msaada wa chakula na pia mkopo wa mishaahara mbona asikatae?
Kama ambavyo wakenya hukusanyika kumueleza matatizo Yao kwake Kama rais, vipi anajisikia vibaya yeye kukusanyika na wenzake kueleza matatizo Yao kwa rais wa nchi tajiri ambayo Kila siku anaipigia magoti.

Marais wa Africa ni sawa na wananchi wa kawaida mbele ya Marais wa nchi tajiri, wote huenda huko kuomba usaidizi wa Kila aina, hivi Rutto anaweza kumueleza nini rais wa China, Japan au USA?

Kamwe haiwezekani kwa mbwa au paka kutotii amri za mtu anayempa chakula, badala ya kuonyesha ujeuri na kiburi, anapaswa kuikomboa Kenya katika hali ya utegemezi wa nchi tajiri, wakenya hawawezi kumuelewa rais anayejaribu kuwadindia watu wanaowaletea chakula Cha msaada kuokoa maisha yao. Who feeds you, controls you.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kama ambavyo wakenya hukusanyika kumueleza matatizo Yao kwake Kama rais, vipi anajisikia vibaya yeye kukusanyika na wenzake kueleza matatizo Yao kwa rais wa nchi tajiri ambayo Kila siku anaipigia magoti.

Marais wa Africa ni sawa na wananchi wa kawaida mbele ya Marais wa nchi tajiri, wote huenda huko kuomba usaidizi wa Kila aina, hivi Rutto anaweza kumueleza nini rais wa China, Japan au USA?

Kamwe haiwezikani kwa mbwa au paka kutotii amri za mtu anayempa chakula, badala ya kuonyesha ujeuri na kiburi, anapaswa kuikomboa Kenya katika hali ya utegemezi wa nchi tajiri, wakenya hawawezi kumuelewa rais anayejaribu kuwadindia watu wanaowaletea chakula Cha msaada kuokoa maisha yao.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Rais njuka!
 
Back
Top Bottom