joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kenya hawawezi lolote zaidi ya Kelele na sifa nyingi, very weak army.Wakenya mmetutia aibu EAC
View attachment 2604372
unaambiwa hii stampede yote was all about 0.5 liters of industrial flavored juicewakenya kuanzia leo nawaweka kwenye my prayers items, hamuwezi peke yenu!
View attachment 2604433









Kenya has never done something wrongly, but also has never succeeded on anything.The most funny thing is actually the Kenya way was the correct one … that’s a military plane when going to rescue your people which is the best option to use? A passenger plane that maybe mambo inaeza enda mrama they get attached or you use a military plane? Ureeembo mingi ni sababu mna raisi mwanamke
Unapokwenda kufanya rescue lazma uwe na mahesabu kichwani sio kukurupuka na hamuwezi peleka kq kwa sababu 95% ndege sio zenu kwa 100% so hauezi take risk kupeleka ndege za watu kwenye vita na kwenye mikataba lazma vipengele kama hvo vipo wala usihangaike kutapatapa huku na kule 😆😆😆The most funny thing is actually the Kenya way was the correct one … that’s a military plane when going to rescue your people which is the best option to use? A passenger plane that maybe mambo inaeza enda mrama they get attached or you use a military plane? Ureeembo mingi ni sababu mna raisi mwanamke
Wajibu kwanza kama wanauchungu na africa baada ya kupata uhuru kwann walijitenga wakaacha nchi zingine zikihangaika?? Leo ndio wanaskia uchungu kwasababu nchi yao imekufa 😆😆Kwa hapa nakubaliana na Mheshimiwa Ruto
military plane for airlifting consignment/supplies sio watu hiyo sio warplane kwamba itafanya air combat or to drop bombs kikinuka 😂😂😂The most funny thing is actually the Kenya way was the correct one … that’s a military plane when going to rescue your people which is the best option to use? A passenger plane that maybe mambo inaeza enda mrama they get attached or you use a military plane? Ureeembo mingi ni sababu mna raisi mwanamke
😂😂😂😂😂😂 rich wa masumbukoKenyans are Rich
![]()
Halafu hajui Tanzania ilipeleka ndege Ethiopia sio Sudan 😅😅Unapokwenda kufanya rescue lazma uwe na mahesabu kichwani sio kukurupuka na hamuwezi peleka kq kwa sababu 95% ndege sio zenu kwa 100% so hauezi take risk kupeleka ndege za watu kwenye vita na kwenye mikataba lazma vipengele kama hvo vipo wala usihangaike kutapatapa huku na kule 😆😆😆
Tuliwaambia humu DRC sio kwenda kula gidheri hawakusikia, ona sasa aibu😂🤨Wakenya mmetutia aibu EAC
View attachment 2604372
Kwenye hili Ruto kaongea ! Tuache ujinga!