ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,455
- 89,874
Na wewe jiunge na wenzako wawili wote nitawapa dozi na usipende kudandia Kwa mbele mada ambayo hujui tulikoanzia..Wacha kutujazia page na mavitu yamekaa shule ya msingi! Hapo ni mkusanyiko wa vyuo visivyopungua nne!
Ondoa ushamba wako hapa.Wewe una matatizo sana,kama umeshindwa Cha kuonesha kutoka huko Bush acha naona unatafuta pa kutokea..
Eti naweka Udsm na wewe weka kama ipo huko Tanga kwani umekatazwa?
Una reason kama umekulia maharage,kwani Hujui kwamba Vyuo Huwa vina matawi?
Narudia tena kwenye tasnia ya Elimu na Uchumi acha huwezi shindana na Mbeya
Niwakumbushe tena mnisaidie kujaza hapa.. pia, kama una jamaa au ndugu at least mmoja mwenye gari mtumie hii link hapo chin ajibu haya maswali manne tu (kwenye hio link hakuna sehem ya kuweka personal detail zako kama majina au email, ni majibu tu). Majibu yatakayotolewa yatasaidia sana kuelewa biashara ya lubricants hasa lubricants zinazouzika sana.
Zoezi nitalifunga leo usiku. Asante!
Wazee (wanazi) wa magari ichoboy01 , na wengine nawategemea sana
Questionnaire on Lubricants
Hi friend. Naomba nisaidie kujibu haya maswali machache kuhusu lubricants unazotumia kwenye gariforms.gle
Asante mkuu.Done, Mitsubishi Outlender. π₯Έπ₯Έπ₯Έ
Boya wewe huna hoja pita huko nimeshakukanyaga..π€£π€£π€£π€£Ondoa ushamba wako hapa.
Kwenye PPP serikali itatoa ardhi ambayo mradi unajengwa through compensation kwa watakao pitiwa na mradi.Sio uoga Mzee,kama serikali haiweki pesa sawa ila kwenye uchumi Kuna issue ya opportunity cost na strategic and rational thinking,msipende kutumia hisia au Imani kwenye masuala ya Uchumi..View attachment 2602561
Kwenye PPP serikali itatoa ardhi ambayo mradi unajengwa through compensation kwa watakao pitiwa na mradi.
Hii ni shule au ni chuo.? π€£Na wewe jiunge na wenzako wawili wote nitawapa dozi na usipende kudandia Kwa mbele mada ambayo hujui tulikoanzia..
Hivyo hivyo Vyuo sijui 4 au 35,Tanga havipo,Kila angle mtakayotafuta Mbeya itawapelekea moto kama kawaida.View attachment 2602821
Mbona ndivyo walivyosema mkuu?[emoji120][emoji120] Miradi ya hivyo Ina cost sana Maendelea ya Nchi,kama watajenga wajenge Kwa PPP
Uliposema unanizidi kabla nikujibu hivyo ulijiuliza kama kweli unanijua? Wewe falamanga tu wa kitanzania kama walivyo wengi humuJe wewe unanijua mimi mpk useme unanizidi?
NACHEKA NAKUFA MIMI....πππ€£π€£πππ NI KWELI NGOMA ANAYO UYU MBWANilisikia Ruto ana ngoma:View attachment 2603049