Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njaa tatizo ase tuliza balls zako sawa........ kenya ardhi ya wazungu wanalima tea mkale chai sasa. inauma sana.. watu ambao mnawaambia awajui ENGLISH alafu wanawazid kila kitu inauma sana..
KIUFUPI KENYA MMELOWAA
Kwani ulizaliwa wakati wa nyerere na hekaya
 
Wewe bongolala endelea kujifariji. Wewe nakuzidi kwa kila kitu na nitaendelea kukuzidi hata zaidi
Ukiendelea kuleta ujinga wako nitaweka picha yako hapa ukiwa getini unalinda, we jifanye tumekusahau tu, macho mekundu kama mchawi alafu unataka kushindana kimaisha na mtz, sema suuu niweke picha yako hapa
 
Ukiendelea kuleta ujinga wako nitaweka picha yako hapa ukiwa getini unalinda, we jifanye tumekusahau tu, macho mekundu kama mchawi alafu unataka kushindana kimaisha na mtz, sema suuu niweke picha yako hapa
Ukienda kenya ukamwita mlinzi watchman anakasirika kabisa anaeza asikujibu wanapenda waitwe soldier atafurahi sana na meno 32 utayaona 😆😆😆😆😆
 
Unfortunately your 1% workforce consumes 53% of your government revenue, 30% is supposed to be for development projects, only 20% remains for public services.

Note:60% of your revenue is going to pay your debts.

The remaining 40% out of this 53% of it goes to pay salaries of 1% of Kenyans. No wonder your failed government can't pay salaries

How do you separate debt and infrastructure? Kwani una kichaa?
Debt is part of our development budget.
Our only loss is the interest payments.
 
Alaf unemployment rate over 40% hvi ww unaona watu wote humu wajinga tu 🤣🤣


Every time you quote a random Kenyan guy on Twitter, I almost forget that Tanzania has the 3rd highest number of poor people in Africa, and a GDP the size of Kiambu.

When it comes to the topic of poverty, Tanzanians should sit that one out. 😂 😂 😂
 
Ale wapi mnuka mavi huyo, ikiwa mpaka leo bado wanaona kujua kingereza ndio akili watu kama hao utawaitaje? Mpaka leo Tz iko mbele kwa vyote lkn wao bado wamekalia lugha na lugha yenyewe hawajui. Kama wangekuwa wanajua kingereza hawa wanuka mavi wasingekuwa wanatakiwa kufanya mitihani ya kutest uwezo wao pale wanapoomba scholarship.
 
Back
Top Bottom