ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,429
- 85,269
PK anafuata nini Tanzania?
That bus structure he posted can't function without a bus chasis. Ndio maana niliuliza kama mnajua hata bus chasis inaundwaje kama hamjui mabasi zote body structure huundwa vileUnajua bus chassis kweli wewe au kichwani umejaza udongo? Kati ya hizo picha kuna bus chassis?
Wacha kelele na usikilize watu wenye akili, "development means to make life easier, comfortable and cheaper", that's why science and technology always try to reduce costs of production by using less time, less labour force to produce more goods, that's why China is dominating world markes.Leave these things to those who understand. Aliyekuambia kwamba product affordability ni kiashirio cha industrialization ni nani? Prices of manufactured goods are determined by their costs of production and taxation bongolala.
Nchi inawezakuwa n Viwanda vichache na bei ya bidhaa zikawa chini kulimgana na tax regime of that particular country and the costs of production. Just the same way a country can have many industries but prices of manufactured goods ziwe juu if the cost of production in that country iko juu.
Wewe unaongea bora you can login and quote posts pasi na uelewa wowote
Mbona picha hazifungukkiJe munajua treni ya mzigo itapita kwenye handaki hilo kwenda port huku BRT ikipita juu
View attachment 2599446View attachment 2599447View attachment 2599449View attachment 2599450
Mkuu, Kila nchi lazima ijiweke karibu na Tanzania, hakuna anayetaka kuachwa pembeni, Kenya mwanzo alijifanya kichwa ngumu lakini hivi Sasa amelegea, Kila kukicha ujumba toka Kenya wanakuja kuomba ushirikiano.PK anafuata nini Tanzania?
Kanataka nn haka kajamaaPK anafuata nini Tanzania?
Wacha tu. 🤣 🤣 🤣washamba sana wadanganyika
Hivi hapo ni bongo? 🤣 🤣 🤣View attachment 2600216
joka linatisha sana tunalisubili liwaume wakenya
Reli na biasharaKanataka nn haka kajamaa
Hamna viwanda ninyi nyumbu na cost of production ni juu kunyaland due to unreliable and high costs of electricity, huna umeme halafu unasema upo industrialized?Leave these things to those who understand. Aliyekuambia kwamba product affordability ni kiashirio cha industrialization ni nani? Prices of manufactured goods are determined by their costs of production and taxation bongolala.
Nchi inawezakuwa n Viwanda vichache na bei ya bidhaa zikawa chini kulimgana na tax regime of that particular country and the costs of production. Just the same way a country can have many industries but prices of manufactured goods ziwe juu if the cost of production in that country iko juu.
Wewe unaongea bora you can login and quote posts pasi na uelewa wowote
Labda Wanakuja Kwa Tanzania baba YaoKanataka nn haka kajamaa
Kbs Tanzania ndo kinara kwny ukanda huu kwa sasa!huna namna ya kujitenga nayo SGR iko nje kwake umeme na gesi ya kununua kwa bei nafuu iko nje kwake pia alifikiri tunatania!amemanga manga sana!Ila kwa vile ana akili kaamua kuja kusawazisha mambo mapema hatumfuati mtu sisi!Mtakuja wenyewe hata hawa Wakenya na kiburi chao chote wakikwama mbio Tanzania kulia lia.Reli na biashara
Hata yule mshkaji wetu poa mkenya aliaga kwamba atakuwa bize hatochangia humu jukwaani kwa sasa sio kweli hayuko bize wala nini kausoma mchezo kala kona yamebaki haya mafenesi! Tuendelee kuyabonda tu hakuna namna!Hivi kweli wewe nchi iliyojenga reli ndefu kbs Afrika na ya kisasa na wewe umeishia Suswa huna hela wakati wewe ndo ulianza Tanzania ndani ya muda mfupi iko mbali kiasi hiki kweli?!Kbs Tanzania ndo kinara kwny ukanda huu kwa sasa!huna namna ya kujitenga nayo SGR iko nje kwake umeme na gesi ya kununua kwa bei nafuu iko nje kwake pia alifikiri tunatania!amemanga manga sana!Ila kwa vile ana akili kaamua kuja kusawazisha mambo mapema hatumfuati mtu sisi!Mtakuja wenyewe hata hawa Wakenya na kiburi chao chote wakikwama mbio Tanzania kulia lia.
Unadema na mradi mdogo kama wa BRT wkt sio tunaimplement phase zaidi ya tatu kwa wakati mmoja huku tuna bwawa kule tuna madaraja irrigation schemes,maji elimu afya na nk, Kenyans you are not serious!Tupeni maua yetu!Hata yule mshkaji wetu poa mkenya aliaga kwamba atakuwa bize hatochangia humu jukwaani kwa sasa sio kweli hayuko bize wala nini kausoma mchezo kala kona yamebaki haya mafenesi! Tuendelee kuyabonda tu hakuna namna!Hivi kweli wewe nchi iliyojenga reli ndefu kbs Afrika na ya kisasa na wewe umeishia Suswa huna hela wakati wewe ndo ulianza Tanzania ndani ya muda mfupi iko mbali kiasi hiki kweli?!
La mizigo Tz Lipo vizuri kuliko,kushinda la abira la wakenyaView attachment 2600228
KULA CHUMA ICHO KUTOKA KOREA.. LA MIZIGO ILO