The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Mbona hii huiongelei [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii kichwa eti wanaita bullet train [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
![]()
Mbona hii huiongelei [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii kichwa eti wanaita bullet train [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
![]()
Wamekusikia na wameanza kuiheshimu, huyu ni mkenya anaikubali TanzaniaNilikua naangalia hii video nikajifunza kwamba vinchi vingine vya kiafrika kwa mfano hivi vijamaa vya north viache kujipa umuhimu [emoji1787][emoji1787] Taifa lenye heshima na maarufu Africa na world leaders wana recognize ni Egypt pekee [emoji116].
Bila shaka ni Dom hapa
Ulishawahi kuiona electric train katika maisha yako? Je, nchi yako ina ndoto za kuwa na electric train? Kama hamna basi wewe ndio mshamba namba moja.washamba sana wadanganyika
Wanaangalia ratings zao uwanjani no prize money it is just a pat on the back.Hivi Hawa wanaochaguliwa kuunda kikodi Bora Huwa wanaoewa zawadi au ni kuwakonga nyoyo tuu?
Wakenya wamefikia "point of no return"Wakunya mnaitwa huku msome comments [emoji2957][emoji2957]
View attachment 2600329View attachment 2600330
Leave these things to those who understand. Aliyekuambia kwamba product affordability ni kiashirio cha industrialization ni nani? Prices of manufactured goods are determined by their costs of production and taxation bongolala.Sasa kwani ni uongo?
characteristic kubwa ya any industrialized country ni products affordability, yaani ukiona most products are cheaper ujue wapo industrial sababu ya industries competitiveness, ndio maana kila industrial product ya Tanzania ni 0.5 mpaka 1.5 times cheaper than Kenya's
View attachment 2599474
Andika kwa kiswahili tutakuelewa tu. Usiwe unag'ang'ana na kiingereza kama ulivyofanya hapo juu na bado uko na nguvu ya kuita mtu mpumbavuThat's why Joto used to call you "mpumbavu" because you are very slower in understanding speeches.