Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣🀣🀣🀣🀣


Mapovu sitaki sijataja Timu hapo 😁😁
 
Hivi anajua kama wydad alifungwa na rivers kwenye uwanja ule ule waliofungwa na Yanga jana?jamaa itakua hajui mpira,kombe analolidharau wametia aibu taifa kwa kufanua uchawi kule s africa na wakafungwa vile vile
 
The country is growing fast, the demand is high.
Ata na shortage, you'll need to combine TZ, UG na Rwanda reserves ufikie za Kenya.

Kuna ligi kwa huu mchezo.
Russia imefinywa dollar pia, they still don't go comparing themselves to LDCs.
Nimekuuliza kwann kuna shortage ya dollar ikiwa munapata remittances kutoka abroad? Usiniletee hasira lakini 🀣

Hili swali utanijibu tu ukiwa una elimu ya uchumi nje ya hapo utanijibu kwa hasira na ghadhabu

Russia china na usa wale achana nao wanavita yao ya superpowers sio ligi yako wale πŸ˜†πŸ˜†
 
The country is growing fast, the demand is high.
Ata na shortage, you'll need to combine TZ, UG na Rwanda reserves ufikie za Kenya.

Kuna ligi kwa huu mchezo.
Russia imefinywa dollar pia, they still don't go comparing themselves to LDCs.
Kenya ina grow kitu gani ikiwa uchumi umeangukia pua, pesa ya kulipa mishahara wafanyakazi kwa miezi mitatu hamuna alaf munategemea uchumi gani πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kenya ina grow kitu gani ikiwa uchumi umeangukia pua, pesa ya kulipa mishahara wafanyakazi kwa miezi mitatu hamuna alaf munategemea uchumi gani πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Kenya sio Tanzania.
Huku, the government employees 1% of the workforce. Private sector 99%.
Huku hatuna ujamaa.
Tanzania ukitoa government buildings and projects, unabaki pale Nyerere aliwaacha. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 

Ukosefu wa dollar ni kwa sababu Marekani iliprint pesa 2020 na 2021 walivyotaka.
Kenya ambayo inanunua mafuta nje mara mbili ya Tanzania, common sense inasema dollar ikipanda, pressure ya reserves pia itapanda.

Na by the way, karibu nchi zote duniani ziko na pressure ya dola sasa hivi.
LDC ambazo hazinunui mafuta mengi ya nje, hazijaadhirika sana. πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kenya sio Tanzania.
Huku, the government employees 1% of the workforce. Private sector 99%.
Huku hatuna ujamaa.
Tanzania ukitoa government buildings and projects, unabaki pale Nyerere aliwaacha. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Alaf unemployment rate over 40% hvi ww unaona watu wote humu wajinga tu 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…