Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sama boy 255
Dar-Mbeya 🔥🔥
westerner_buses_fans_1682258515657447.jpg
 
how many layers kwenye hii cross section ya BRT?

View attachment 2596880
tz wakati huu kwenye ujenzi wa barabara hakuna ubabaisha MWAMBA MAGU kipindi chake aliwafungua akili viongozi wa leo sasa ni lazima wavae viatu vyake ingawa bado haviwatoshi
kuna ma haters wa magu watakuja nipinga lakini ukweli lazima usemwe ......
before magu barabara zilikuwa zikimalizika kujengwa tu ndani ya wweek mbili mvua ikinyesha tuu yaani ni vurugu tupu mashimo kila kona kama zile barabara za kenya alfu zinakuwa zimepaukaaa na lea yake ni nyembamba kama kiwembe au kama za wakunya au wakundustani [emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]
 


MY TAKE
Hivi hawa ni wakina nani wanaodhani Mwanza tu ndo inafaa kupewa priority kwenye uwekezaji? Kwanini hupenda kuwapangia wawekezaji wapi pa kuwekeza? au ndo mambo ya kusimamisha bagamoyo port?
 


MY TAKE
Hivi hawa ni wakina nani wanaodhani Mwanza tu ndo inafaa kupewa priority kwenye uwekezaji? Kwanini hupenda kuwapangia wawekezaji wapi pa kuwekeza? au ndo mambo ya kusimamisha bagamoyo port?

Ni wale nyumbu walinda legacy wa yule Jamaa aliyeleta ukabila 🤣🤣
 
Nimemsikia manager wa TARURA anasema DMPD 2 inakuja kufanya facelift kwa barabara za city center sio poa, kule una flyover moja safi inaingia town plus park ya maana kabisa pale Jagwani, then BRT 2,3&4 zinasafisha major streets kama Sokoine, Bibi Titi, Azikiwe, na Mnazi Mmoja, and then DMPD inalift minor streets, noma sana. Kuna watu nawaona wanatamani waombe radhi kwa kugalagala kwenye matope kwa matusi wamekuwa wakitutukana.

Ile Kariakoo yote ikipigwa lami itakua kama pale Deira Dubai.
 
Back
Top Bottom