ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,427
- 88,515
Mpango umeshatick na kukamilika.. tukutane 2025.. watu tuko site tayariUna nongwa sana na ulisema utafanya kazi ya kumkwamisha na uliapa kwamba hatogombea 2025,Bado miaka 2.
Invisible na Yingyang Arsenal wale so niliwakera sn siku ile wakasema hapa hapa huyu mbwa tunamnyoosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]This time hutoi ahadi ya kupigwa ban?[emoji23][emoji23]
Jana Dafu lilikuwa kama ifuatavyo.
View attachment 2595913
BRT hapo imeshakamilika wanafunga taa za barabarani tu saiv.. Ikipigwa picha ya usiku hapo itakuwa lit!!!!huku Wakunya hawatokaa wafike, huku mbali sana aisee!
View attachment 2595133View attachment 2595135View attachment 2595137
How do you upgrade kitu kinachoonekana vizuri sana ni lami kwenye picha? Wewe ni kenge wa wapi?Unajua maana ya neno upgrade? It means hiyo barabara ilikuwa ya vumbi now inakuwa upgraded to bitumen standard.
Wakomoro wakati juzi wanakuja kumbe ndo kitu walichokuja kukiweka sawa
Maneno mengi bila tija. Kuna nchi kadhaa havina ulivovitaja vyote na umeshinda hiyo nchi yenu kimaendeleo na kwa kila kituNimekwambia hili jambo ni geni kwako, hujawahi kuona electrifitried railway, ikiwa cable stayed bridge hujawahi kuona, BRT roads hujawahi kuona so utanifundisha mm ambaye naviona kila siku? Narudia tena sikulaumu cz huna exposure ya hizo maneno.
imagine na phase 3 itakuwa na terminal airport, unatoka zako Airport unakamata BRT inakuleta SGR terminal, unakamata bullet train unatambaa mpaka Mwanza au hata DRC 😂😂BRT hapo imeshakamilika wanafunga taa za barabarani tu saiv.. Ikipigwa picha ya usiku hapo itakuwa lit!!!!
Mambo Yana kwenda speed sana! Unashuka kwenye train ya mwendokasi, unapanda bus la mwendokasi.. Zero cost hakuna Uber kuhusika hapo! Usafiri rafiki na nafuu Kwa umma.
Unyama sanaaa..imagine na phase 3 itakuwa na terminal airport, unatoka zako Airport unakamata BRT inakuleta SGR terminal, unakamata bullet train unatambaa mpaka Mwanza au hata DRC [emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣 Baada ya 🔨🔨🔨Sometimes mzee ficha ushamba.
Kapendeza sana. But why it seems people are not aware of her presence.. naona watu hawana habari nae au uwepo wake.. the influence 🤔
Mbona ST.Peter Oysterbay ilikuwa haizizimi siku ya jumapili JPM alipokuwa anasali.Kuna siku nimesali nae pale tulikuwa tunahheshimu zaidi Mambo ya Misa kuliko siasa.Tuwe watu wa kuwaza mambo makubwa.Tumekuwa na akili zinazowaza mambo madogo madogo mno.Apo kingekuwa chuma bhn jiji zima lingesimama, jamaa alipata nyota ya ajabu sana na nguvu za kutisha mpk majeshi.
Umesali siku moja, mim nasali hapo oysterbay sikuzote.. ndo kanisa ninaposaliMbona ST.Peter Oysterbay ilikuwa haizizimi siku ya jumapili JPM alipokuwa anasali.Kuna siku nimesali nae pale tulikuwa tunahheshimu zaidi Mambo ya Misa kuliko siasa.Tuwe watu wa kuwaza mambo makubwa.Tumekuwa na akili zinazowaza mambo madogo madogo mno.