Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sama boy 255 ,soma maelezo ya mwana Tanga hapa 😂😂🤣🤣
View attachment 2596184
Naweza kukupostia majengo mapya, barabara mpya, shule mpya, supermarkets mpya, sehemu za michezo mpya, hotels mpya, viwanda vipya, renovation za masoko na mashule hadi government buildings, hata dampo jipya naweza post Ukitaka.. huyo tahira haijui Tanga.. hata naweza kukupostia miji iliyokua juzi kimaendeleo kutoka kuwa ya maskini hadi kuwa middle class ..

Hizo kelele za sijui watu wa Tanga ni wavivu ni propaganda tumezoea kuziskia
 
ChoiceVariable
Screenshot_20230422-151216_1.jpg
hii ni Sahare, miaka kumi nyuma paliitwa Sahare kijijini kutokana na aina ya makazi yaliyopo hapo.. barabara hii ni mpya+Haya makazi ni mapya watu wa middle class n some rich people have been relocated to this place n it's now full (mind you hii ni imetokea in just years) investments zingine kwenye hili eneo ni hii hotel Tanga beach resort 👇
tanga-beach-resort.jpg
tanga-beach-resort-spa_15706248131.jpg
the-view-from-the-conference.jpg
.. by the way sasahiv sahare inatoka jino kwa jino na Raskazone (TA posh street)
 
ChoiceVariable View attachment 2596232hii ni Sahare, miaka kumi nyuma paliitwa Sahare kijijini kutokana na aina ya makazi yaliyopo hapo.. barabara hii ni mpya+Haya makazi ni mapya watu wa middle class n some rich people have been relocated to this place n it's now full (mind you hii ni imetokea in just years) investments zingine kwenye hili eneo ni hii hotel Tanga beach resort 👇View attachment 2596239View attachment 2596242View attachment 2596243.. by the way sasahiv sahare inatoka jino kwa jino na Raskazone (TA posh street)
Mara ya 3 hii unaleta the same picture plus video Juu 🤣🤣🤣🤣

Tanga ni Kijiji kama Vijiji vingine vya Kahama Morogoro,Geita etc.
 
BRT hapo imeshakamilika wanafunga taa za barabarani tu saiv.. Ikipigwa picha ya usiku hapo itakuwa lit!!!!

Mambo Yana kwenda speed sana! Unashuka kwenye train ya mwendokasi, unapanda bus la mwendokasi.. Zero cost hakuna Uber kuhusika hapo! Usafiri rafiki na nafuu Kwa umma.
Malizia hivi, unachukua zako joka la umeme kutoka mwanza masaa yako kadhaa ushafika Dar, unatoka hapo unaingia zako kwenye BRT ambayo ni system unaingia zako airport huyooo zenji au mamtoni mwanangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unaweza leta makazi au hotel yenye hadhi ka hizo kutoka Mbeya.?
Kwanza ni ya level ipi hiyo?

Mbeya Hotel kubwa ziko 4 ila zingine ni za level ya nyota 3

Southern Highlands Hotel
images - 2022-12-08T171453.981.jpeg


Tughimbe Royal Hotel
20230325_163314.jpg


New GR City Hotel
20230418_125545.jpg
20230418_125532.jpg
20230418_122159.jpg


Na mwisho ni Mdope Hotel
20230304_185124.jpg
 
Maneno mengi bila tija. Kuna nchi kadhaa havina ulivovitaja vyote na umeshinda hiyo nchi yenu kimaendeleo na kwa kila kitu
Kitendo cha sisi kuwa na hivyo vitu ambavyo hiyo nchi haina manaake tushaipiku mpk hapo.

NB: ukinitajia any developed country ambayo haina mojawapo ya hzo state of art naondoka jamiiforums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unyama sanaaa..

Yani kama mbeleee...

Level nyingine... Sio agenda za Nchi ni Ugali.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati wenzetu wanazubaazubaa na vita za ugali sisi tayari tuna mpango wa kuweka overpass ya ndege kupishana na gari kama Germany [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanza ni ya level ipi hiyo?

Mbeya Hotel kubwa ziko 4 ila zingine ni za level ya nyota 3

Southern Highlands Hotel View attachment 2596252

Tughimbe Royal Hotel View attachment 2596253

New GR City Hotel View attachment 2596254View attachment 2596255View attachment 2596256

Na mwisho ni Mdope Hotel View attachment 2596258
Any high rise building apart from what you posted.? 🤣🤣🤣 Umemaliza hapo the best of your city 🤣🤣🤣🤣 Dah..!! Ndio utawezana na Tanga sasa .? Nimekupa ka story ya Sahare unapostia vijengo vyenye ni jua kali type, jinga kabisa wewe
 
Any high rise building apart from what you posted.? 🤣🤣🤣 Umemaliza hapo the best of your city 🤣🤣🤣🤣 Dah..!! Ndio utawezana na Tanga sasa .? Nimekupa ka story ya Sahare unapostia vijengo vyenye ni jua kali type, jinga kabisa wewe
Kwani High rise buildings ndio Ina define City status? Kama ni hivyo Iringa has more highrise buildings kushinda Tanga na Mbeya yet is just a mere town..

Picha hizi za Mbeya residential apartments nikipiga kiangazi.
IMG_20221016_084625_708.jpg
IMG_20221016_100918_070.jpg
IMG_20221016_094123_550.jpg
IMG_20221016_094955_670.jpg
IMG_20221016_095459_095.jpg
IMG_20221016_095838_000.jpg
 
ChoiceVariable explore my home town ni residential buildings tu zitakufanya upost the best of your so called city 🤣🤣🤣.. anyways gorofa ni nyingi sana ndani barabara za namba kuliko kuliko zile zilizopo Mbeya and Iringa combined ona vile classic residential buildings hukaa 👇
26947144709_4cb7631982_b(0).jpg
37835299655_0106a10f83_b(0).jpg
 
Back
Top Bottom