Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Whats organized there? Ama kuweka picha ya kibera slum ndo inafanya iwe organized?
 
Unajua kama Tanga kuna mradi wa bomba la mafuta U/C .?
Huu ni utoto,unapiga kelele za mabomba, Mbeya ilishapita hiyo stage kitambo.Inashangaza Hilo Bomba linajengwa Tanga pekee? Punguza ujinga basi.

Wewe ***** wa Tanga unajua kwamba Vituo vikubwa vya heating,pumping na maintainance facility za Bomba la TAZAMA kipo Dar,Mbeya na Ndola?

Sasa hivi kinataka kuwa converted lisafirishe diesel badala ya crude oil
 
Ukituliza kichwa akili unazo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣 Nilikua sijaiona hii .. no wonder wanakupuuza humu ndani
 
🤣🤣🤣Aisee wewe jamaa ni zuzu.. heb maliza viwonder 🤣🤣 vyako kwanza halafu nikuonyeshe vile viwanda vinafaa kuwa
Umeshakiri mapema hakuna viwanda vya maana huko Tanga Nitakuwa nakuonea Bure ,Rudi kule kwenye tugorofa twa Waarabu walau unaweza jifariji 😂😂😂😂

 
Kweli kabisa. Salary ndogo sana
 
Ila Kibera ndio sehemu mbaya zaidi kuishi Africa Mashariki
That slum is too much
Kwaivo point yako haikuwa ruangwa ni more organized kuliko Nairobi bali kibera ndo sehemu mbaya zaidi kuishi? Kwa hivyo ndo maeneo ya Tanzania yaonekane yameendelea, lazima yalinganishwe na sehemu mbaya zaidi kenya [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…