Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeleta mara ngapi? Si ulipewa tovuti ya Ofisi ya CAG ingia utaona au soma vyombo vya habari.

Siwezi kujichosha na mtu anafanya mzaha.
CAG ametaja mradi wa LOT ya 3 Makutupora-Tabora na LOT 4. Sasa ujenzi wa lots hizo zimesainiwa lini? wewe ni mzima kweli upstairs?

Lot 3 imesainiwa December 2021 na Samia na wakina mbarawa ambao Magufuli aliwatimua. na by December 2021 Magufuli alishakufa zaidi ya miezi 8. Unamuhusishaje na ujinga wenu mliosign? wewe ni mzima kweli upstairs?

 
usual tanzanians idling here all day glorifying nonsense.....Enyewe umbeya nayo mmeshinda
 
Naona maumivu ya kukosa mshahara kweny hii comment [emoji38]..
anyway at least tunapiga umbea tukiwa tumeshalipwa mishahara..
Tena kabla ya trh 25, miaka nenda rudi sijawahi kusikia serikali ya Tanzania imeshindwa kulipa mishahara and mind u civil servants wa Tz wanalipwa pesa nyingi kuliko wa nchi zote EA na pia ni wengi kuliko nchi zote ukanda huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Turudi kwenye uzi wetu, coz me naona tunapoteza tu focus ya uzi wetu.
 
Hajabisha mpk mda huu naenda kulala 😄
Huwa sijadili ujinga,kwani kama Mimi ni dalali inanipunguzia nini na wewe unaongezewa nini?

Tanzania kuendelea itachukua mda yaani imejaa watu wajinga wenye mentality za kijinga kijinga ,just imagine mtu ana enjoy kutumwa na kupangiwa ratiba za maisha yake Kwa kuajiriwa 😁😁.

Ndio maana ulidanganya wale wajinga wenzio humu na picha.Mtaishia kwenye brackets hivyo hivyo.
 
Mchakato wa kusaka contractor na mkopo ulianzishwa na Serikali ya Magu ,Serikali ya Magufuli ilishakuwa imeji commit kwenye masharti ya kindezi tokea kutafuta financier ambae alishawapa masharti ya Wakandarasi wake..

Kadogosa ni appointee wa nani?Japo hawa pia Mwigulu,Mbarawa ni wahusika wakuu kumshawishi Rais akubali tender ya kindezi washtakiwe.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…