Kitu walichobaki wakenya ni kushikilia twakimu zinaonyesha uchumi wao ni mkubwa, wakat wana maisha magumu kwa ground. Saiz ukiwaambia GDP yao ni fake, watabisha na kukuletea hizo takwimu zinazowadanganya. Nasubir hio siku takwimu mpya zitakapoanza kutoka mfululizo na kuonyesha Tanzania ina uchumi mkubwa na tuna hali nzuri kimaisha kuliko wao. Walikuwa wanasifia currency yao, sasa imeanza kuwaletea aibu na kuonyesha picha halisi inavyozidi kushuka thamani yake.. hapa nasubiri tu twakimu za uchumi or GDP, mana hapo ndo sehem bado wameshikilia kwa kuwahaada watu mitandaon kuwa wako vizur wakat hawana chakula, wana madeni lukuki, serikali yao inashindwa kulipa mishahara etc. Ipo siku watakubali uchumi wao wa ni fake na ni mdogo kuliko wa Tanzania