Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wala sio sababu hiyo,wewe unaona Sgr itabeba nini huko Mwanza?

Hiyo trc Kuna mwaka imewahi pata faida?
Kama mizigo kwenda uganda inatumia 4 days through south port of mwanza kwa hii reli ya kawaida je SGR ambayo itatumia only 2 days huoni ni advantage na pia itaongeza opportunities ya waganda kutumia port of dar es salaam na pia itakua ni cheap sana kwao alaf pigia mahesabu miaka 30 mbele biashara zitakuaje na population itakuaje
 
Hiyo mizigo ya kwenda Rwanda,Burundi,Uganda na Eastern DRC haifiki hata 20% ya Mizigo yote inayopita Dar port..

So losses ziko pale pale,TRC itakuwa kama Tanesco tuu.

Mwisho Bandari ya Tanga itatumika zaidi ku supply Lake zone, North,Uganda nk kwa njia ya Barabara kuliko kupitishia huko Dar na kwenye Sgr..

Si tupo hapa tuombe uzima ,2027-30 Kila miradi itakuwa imekamilika majibu Kila mtu atapata..
 
Swala hapa ni kwamba volume ya mzigo ni ndogo,kwamba unaamini with Sgr Waganda watahama Njia ya Mombasa waje Tanzania? Labda kama hawataunganisha reli Yao na Kenya ila wakiunganisha hakuna kitu hapo itaendelea kuwa alternative tuu in case of inconveniences
 
Kuikataa ww haina maana kua haina faida kwa wengine kina faida sana kwa wafanyabiashara sio wewe πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† wewe bakia mtazamaji inatosha

Nia ya ya SGR kwanza ni kuongeza uwezo na efficiency katika bandari hasa ya dar na zinginezo

Na bandari ya karema tunataka biashara itangamae kati ya congo na tanzania ndio lengo kuu na iwe rahisi hata mizigo inayotoka congo kwenda zambia na malawi yote ipitia tanzania hii yote ni kutafuta opportunities

Ili uwelewe haya unatakiwa kwanza kichwa kipoe sio kichwa muda wote moto tu
 
Bandari inakua hvi tunavoongea mizigo inayopita kwenda burundi na malawi ni over 90% rwanda inakuja kwa kasi ya zaidi ya 50% zambia pia over 50% congo halikadhali wanakuja kwa kasi sana hata south sudan ila mizigo inayopita kwenda uganda ndio iko chini ya 10% sasa tunataka mizigo inayokwenda uganda iongezeke hata kufkia 40%

Sasa kama huna reli ya haraka kupeleka mizigo ili kuleta ushindani na bandari ya mombasa hakuna mteja atakuja kwako na malengo ya bandari ya dar walau kufkiri 2025 iwe ina handle over 25m tons ndio malengo ya awali

Tukiitumia bandari vzr na SGR ikaongeza chachu kwenye bandari yetu ajira zitaongezeka na mapato yatakua makubwa kuliko
 
70% ya, mizigo ya eastern DRC kwa sasa inapita tunduma
 
Naamini kwa asilimia zote kua the cheapest way na efficiency way ndio italeta majibu kua uganda ataenda wapi lakini tuombe Mungu SGR ikamilike kwa wakat mark my words utakuja kunambia πŸ˜†πŸ˜†

Waunganishe reli yao ipi wakat kila mwaka wanapigwa penalty kwenye SGR loan pesa ya kulipa hawana unategemea wataunganisha na nn au wanaunganishe na mawe sasa 🀣🀣🀣
 
Ukimaliza kualika tutatamani kuskia baadhi ya mawaziri hawapo wizarani akiwemo mbarawa, waziri wa fedha , waziri wa utalii ( tanapa) inamhusu, waziri nape etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…