Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nadhan akili imemkaa sawa sasa.. aache upole, asilele vigogo wa zaman ovyo, awe mkali.. apaswe kufanya maamuz yake na si kusikiliza vigogo waliostaafu. She's good lkn anawasikiliza vigogo wenye maslahi yao
Hio stupid na pumbavu nimeielewa.. imetoka moyon.. afu kafunga huyu

Hii nchi Akileta Kujuana Sijui kucheka cheka Inakula kwake
 
Atcl,TRC,NDC ni rubbish yanaleta hasara tuu Nchini ,futilia mbali.
Mkuu, bado hujafuatilia haya mambo kwa undani. In real Sense ATCL inatengeneza faida tena kubwa Sana.

Yaani ukichukua mapato na matumizi ya ATCL tangu wapate hizi ndege mpya, mapato yanazidi matumizi kwa mbali Sana.

Hasara inayoonekana kwenye vitabu vya CAG ni kwasababu ATCL ilirithi deni kubwa la nyuma kutokana na ukodishaji wa ndege za ATCL huko nyuma. Endapo hilo deni lingefutwa na serikali, ATCL lingekuwa ni shirika lenye kujiendesha kwa faida kubwa Sana

Ukisoma vizuri utaona ni jinsi gani ndani ya mwaka mmoja ATCL imeweza kupunguza deni kutoka This 60B hadi 30B, yaani imeweza kulipa 30B na bado inajiendesha bila ruzuku ya serikali. Kwa Kasi hii ya kupunguza deni, ikifika mwakani, deni lote litakwisha, na pesa yote itaonekana Kama faida.

Sikiliza kwa makini hii
 
Kwa mda gani time interval ni sahihi kuwapima hasa atcl?
 
Wewe Rais Samia sio sawa na yule ambae alikuwa anaambiwa ukweli harafu anafukuza CAG 😁😁.

Hii ni ripoti ya kwanza kabisa chini ya Uongozi wake na ameshasema hapo watu wapishe na subiria tumbua tumbua inakuja.

Pia kasema watafuta baadhi ya Mashirika yasiyoleta Tija,ameagiza Wakorea Wasiondoke Hadi Mifumo ya Bandari na TRA isomane maana ilikuwa ni loophole ya upigaji.

Aisha amesema watabadili mfumo wa utiaji wa mikopo Halmashauri.

Pia amemuagiza TAKUKURU afanye Uchunguzi wa pesa za uviko 19 Wizara ya Maliasili.

On top of that maazimo ya Bunge yanakuja utaona hatua zaidi zikichukukiwa Kwa wahusika..

Mwisho kabisa hii ni ripoti ya CAG wahusika wanatakiwa kutoa majibu kabla ya hukumu,huwezi kuwatia hatiani Moja kwa Moja Wana mda wa kujibu.

Alisema ,Alisema ,Alisema
Utaona ,Utaona
Porojo tupu
 
Ndio Nilizila Maana Nilikula kwa Urefu wakamba yangu
Huna hoja wewe.
 
Wewe Rais Samia sio sawa na yule ambae alikuwa anaambiwa ukweli harafu anafukuza CAG [emoji16][emoji16].

Hii ni ripoti ya kwanza kabisa chini ya Uongozi wake na ameshasema hapo watu wapishe na subiria tumbua tumbua inakuja.

Pia kasema watafuta baadhi ya Mashirika yasiyoleta Tija,ameagiza Wakorea Wasiondoke Hadi Mifumo ya Bandari na TRA isomane maana ilikuwa ni loophole ya upigaji.

Aisha amesema watabadili mfumo wa utiaji wa mikopo Halmashauri.

Pia amemuagiza TAKUKURU afanye Uchunguzi wa pesa za uviko 19 Wizara ya Maliasili.

On top of that maazimo ya Bunge yanakuja utaona hatua zaidi zikichukukiwa Kwa wahusika..

Mwisho kabisa hii ni ripoti ya CAG wahusika wanatakiwa kutoa majibu kabla ya hukumu,huwezi kuwatia hatiani Moja kwa Moja Wana mda wa kujibu.

Mkuu, hii ni ripoti ya pili sio ya kwanza, ripoti ya kwanza, hata yeye mwenyewe amesema Leo kwamba hayo maeneo mengi alishayatolea maelezo katika ripoti ya mwaka uliopita lakini watu hawabadiliki.

Jambo lingine, ninakushangaa Sana Kila kitu unajaribu kumtumia Magufuli Kama references, sijamlinganisha na Magufuli, Mimi ninamkosoa pale ninapohisi anakosea Kama ambavyo nilikua nikimkosoa Magufuli alipokua anakosea.

Hili tatizo lako la kumtumia Magufuli Kama Kinga ya kutomkosoa SSH nilidhani limekwisha, ninashangaa linajitokeza tena, jibu au tetea hoja bila kuhusisha Magufuli, vinginevyo mjadala hauleti maana. Magufuli alikosolewa pale alipokosea Kama rais, Samia anakosolewa kama rais, sio Kama mpinzani wa Magufuli, badilika mkuu.
 
Mkuu, hii ni ripoti ya pili sio ya kwanza, ripoti ya kwanza, hata yeye mwenyewe amesema Leo kwamba hayo maeneo mengi alishayatolea maelezo katika ripoti ya mwaka uliopita lakini watu hawabadiliki.

Jambo lingine, ninakushangaa Sana Kila kitu unajaribu kumtumia Magufuli Kama references, sijamlinganisha na Magufuli, Mimi ninamkosoa pale ninaposhali anakosea Kama ambavyo nilikua nikimkosoa Magufuli alipokua anakosea.

Hili tatizo lako la kumtumia Magufuli Kama Kinga ya kutomkosoa SSH nilidhani limekwisha, ninadhangaa linajitokeza tena, jibu au tetea hoja bila kuhusisha Magufuli, vinginevyo mjadala hauleti maana. Magufuli alikosolewa pale alupokosea Kama rais, Samia anakosolewa kama rais, sio Kama mpinzani wa Magufuli, badilika mkuu.
 
Nadhan akili imemkaa sawa sasa.. aache upole, asilele vigogo wa zaman ovyo, awe mkali.. apaswe kufanya maamuz yake na si kusikiliza vigogo waliostaafu. She's good lkn anawasikiliza vigogo wenye maslahi yao
Hio stupid na pumbavu nimeielewa.. imetoka moyon.. afu kafunga huyu

Hamna kitu huyu mother mwana!

Samia "haya yako mengi, mawaziri tusaidieni, tusaidieni".

Wewe ulishasikia mtu wa kazi MAGUFULI akliomba kusaidiwa kwenye upumbavu kama huu??
 
Mkuu, bado hujafuatilia haya mambo kwa undani. In real Sense ATCL inatengeneza faida tena kubwa Sana.

Yaani ukichukua mapato na matumizi ya ATCL tangu wapate hizi ndege mpya, mapato yanazidi matumizi kwa mbali Sana.

Hasara inayoonekana kwenye vitabu vya CAG ni kwasababu ATCL ilirithi deni kubwa la nyuma kutokana na ukodishaji wa ndege za ATCL huko nyuma. Endapo hilo deni lingefutwa na serikali, ATCL lingekuwa ni shirika lenye kujiendesha kwa faida kubwa Sana

Ukisoma vizuri utaona ni jinsi gani ndani ya mwaka mmoja ATCL imeweza kupunguza deni kutoka This 60B hadi 30B, yaani imeweza kulipa 30B na bado inajiendesha bila ruzuku ya serikali. Kwa Kasi hii ya kupunguza deni, ikifika mwakani, deni lote litakwisha, na pesa yote itaonekana Kama faida.

Sikiliza kwa makini hii

Hana akili huyo usipoteze muda wako kudebate nae.
 
Back
Top Bottom