Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hasara ikipungua maana yake shirika linafanya vzr linaanza kufunguka zaidi yani ukiona hasara inapungua kwa almost 50% ndani ya mwaka mmoja ujue ni gap kubwa sana hasa kwenye airline business

Hata ukiumia haisaidii wala huwez zuia 😆😆
Sasa shirika inafanyaje vizuri kama haijaitengeneza faida tangu ianzishwe?🤣🤣😂🤣
 
Sasa shirika inafanye vizuri kama haijaitengeneza faida tangu ianzishwe?🤣🤣😂🤣
Tangu ifufuliwe imepunguza hasara kwa mwaka mmoja jambo ambalo ni kubwa sana kwenye aviation industries almost 50% yani ni jambo la kihistoria

Na pia ni jambo la kihistoria shirika kupata hasara from 16b to 39b hii sijawah kuiona 😆😆
 
Tangu ifufuliwe imepunguza hasara kwa mwaka mmoja jambo ambalo ni kubwa sana kwenye aviation industries almost 50% yani ni jambo la kihistoria

Na pia ni jambo la kihistoria shirika kupata hasara from 16b to 39b hii sijawah kuiona 😆😆
1977 up to date ni 46 yrs. Hasara kila mwaka😂😂🤣
 
Nishamalizana na ww sibishani na chizi anaejitia uhayawani 👇👇👇👇

Chizi ni wewe mwenye hajui kwamba ATCL haijaitengeneza faida tangu ianzishwe in 1977🤣🤣😂
 
Ramadhan cup inafanya vzr kuliko ligi kuu ya kenya 🤣🤣🤣👇👇👇

Unatoroka unapenda wapi?😂😂🤣 I want you to tell when ATCL made a profit since it was started.😂😂🤣
 
Mwanzo nilijua shanghai china kumbe wami bridge tanga 😆😆😆🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Screenshots_2023-03-29-23-09-34.png
Screenshots_2023-03-29-23-09-49.png
Screenshots_2023-03-29-23-10-02.png
Screenshots_2023-03-29-23-10-20.png
 
Kuna Shirika linapata hasara over 320m usd hapo hapo bado linamiliki ndege tatu chakavu hapo hapo linakopeshwa mapesa kibao from tax payers money[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

320m usd sawa na kununua boeing 737-800 nne mpya kabisa na change inabaki




Hongereni sana air tanzania mumefanya kazi kubwa sana na nilitegemea hvo [emoji1241][emoji1241]
From 60b to 35b sikutegemea ndani ya mwaka mmoja [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
We boya hilo shirika lenu linalopiga routes 4 pekee usiwahi kuiweka sentensi moja na kenya airways inayo fly to more than 60 destinations worldwide
 
We boya hilo shirika lenu linalopiga routes 4 pekee usiwahi kuiweka sentensi moja na kenya airways inayo fly to more than 60 destinations worldwide
Enhh imekua routes 4 pekee jamani mbona kama mutanipiga sasa 😆😆😆😆
Tanzania domestic routes air tanzania ime cover over 80% yani nikikwambia air tanzania inakwenda mwanza 5 to 6 time go and return kila siku unaeza amini weww?🤣 na hapa kuna route ya mpanda sijaiona 👇👇👇
images - 2023-03-29T232339.719.jpeg


Air tanzania to nairobi, lusaka,harare,kampala,bujumbura,mumbai,china, kigali etc na hapo kuna routes mpya zitaanza soon dubai, south africa and london

ina fly na hasara inayoleta inaweza nunua ndege 4 mpya 737-800 na chenji ikabaki ya kutosha 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi hushinda nikiwaambia, the only reason wabongo wana sauti humu ni kwa sababu mambo ya Kenya yapo wazi, shida za Kenya zipo wazi. Huko kwao wanaficha. Si huwa wanatucheka humu jinsi tunalishwa na Ukraine - nchi iliyo vitani? Ona wanaimport ngano nyingi Ukraine kutushinda. [emoji1787] [emoji1787]
Tofauti ni kwamba mmoja anapewa bure mwengine ananunua.
 
Back
Top Bottom