Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani nimefurahi sana kweli mumetimiza azma ya magufuli hongereni sana na onesheni bidii zaidi yani from 60b to 35b ndani ya mwaka mmoja go go airtanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😍😍😍😍😍😍
2020/2021

2021/2022

Unashangilia hasara? Wewe ni kondoo wa wapi?😂🤣🤣
 
Anaumia kwann air tanzania imefufuliwa juzi na imepunguza hasara over 50% ndani ya mwaka mmoja mm kuna siku nilisema air tanzania ndio mwiba wa kq wakaanza kuniandama na matusi 🤣🤣🤣🤣🤣
Bado nangoja unionyeshe faida ATCL ishaipata. Niko pale nangoja😂😂🤣
 
Nashangilia kupunguzwa kwa hasara from 60b to 35b ndani ya mwaka mmoja hio ndio furaha yangu vipi wewe ?? 🤣🤣🤣🤣🤣
46 years shirika bado inapata tu hasara, to make it worse ATCL is making losses yet hailipi parking fees at the all the Tanzanian airports.😂😂😂
 
Bado nangoja unionyeshe faida ATCL ishaipata. Niko pale nangoja😂😂🤣
Kwanza jionee kupungua kwa hasara kwa almost 50% ni hatua kubwa sana sikuwah kuitegemea air tanzania mm nilijua watapunguza hasara mayb kwa 10% or 5% yani almost 50% sikutarajia ni jambo kubwa sana air tanzania wamelifanya 👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Hasara ni faida?😂😂🤣😂
 
Hasara ni faida?😂😂🤣😂
Kupungua kwa hasara ndio tija yangu na furaha yangu yani nimefurahi sana na hili nililisema kq inauliwa na airtanzania na kweli sasa muda unaongea 😆😆👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kwanza jionee kupungua kwa hasara kwa almost 50% ni hatua kubwa sana sikuwah kuitegemea air tanzania mm nilijua watapunguza hasara mayb kwa 10% or 5% yani almost 50% sikutarajia ni jambo kubwa sana air tanzania wamelifanya 👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Kupungua kwa hasara ndio tija yangu na furaha yangu yani nimefurahi sana na hili nililisema kq inauliwa na airtanzania na kweli sasa muda unaongea 😆😆👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hasara ikipungua inamaanisha shirika imepata faida?🤣🤣😂🤣
 
Hasara ikipungua maana yake shirika linafanya vzr linaanza kufunguka zaidi yani ukiona hasara inapungua kwa almost 50% ndani ya mwaka mmoja ujue ni gap kubwa sana hasa kwenye airline business

Hata ukiumia haisaidii wala huwez zuia 😆😆
 
Back
Top Bottom