Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona yule wenu alikuwa anafukuza CAG baada kuumbua upigaji wake 😁😁

Wewe huna akili, ten ni vyema kama ukatulia na kujifunza kwa wengine na at least kuuliza kwanini watu humu wanakwambia huna akili. Humu kuna watu wa kila aina, ni vyema utumie majukwaa haya ujisahihishe na kujifunza kuliko kuleat ujuaji usio na msingi.

Nape anatoa maelezo haya muda huu na kipindi hiki, akidai kichomuondoa Uwaziri ni yeye kuamua kulinda heshima na kukaidi amri ya kutoenda kuchunguza.
FAIRLY, mimi sikukuwepo kwenye mazungumzo hayo, na wewe pia hukukuwepo, we give Nape A BENEFIT OF DOUBT (the state of accepting something/someone as honest or deserving of trust even though there are doubts.)

Sasa, kuna kitu kinaitwa: NATURAL JUSTICE (requires that a person receive a fair and unbiased hearing before a decision is made that will negatively affect them)

Yaani, natural justice inataka maelezo ya mtuhumiwa MAGUFULI yasikilizwe kabla yakuamuliwa ni ukweli ni upi kwenye hili.

UJINGA ni kukubali tu kila kinachosemwa ama unachosikia bila kuhoji its credibility.
 
Wewe si ndio huna akili Sasa mapovu Yako Mimi yananisaidia nini? Kamuulize nape mbona Huwa mnajadili huko Twitter? 😁😁😁😁

Mimi nakufikishia ujumbe kama ulivyo.Harafu una tabia ya kutukana Rais wewe jidanganye kwamba uko immortal.
 
Hamna kitu huyu mother mwana!

Samia "haya yako mengi, mawaziri tusaidieni, tusaidieni".

Wewe ulishasikia mtu wa kazi MAGUFULI akliomba kusaidiwa kwenye upumbavu kama huu??
Nmeshangaa eti anaomba wezi wamsaidie kupunguza wizi uliona wapi, yeye anatakiwa awe mtu wa vitendo na sio kuomba omba, ukiwa Rais waliojuu wote wanakutizama wewe, ukiwa hueleweki wanakupiga mana wanajua mwisho wa siku jumba bovu linakuangukia wewe Rais, ukiwa mkuu wa kitengo hutakiwi kucheka na walio chini yako mana cku zote wanawaza kupiga. Huyu mama hatoshi, kuna sehemu anajitahidi tahidi kdg ila kiujumla hatoshi na sio kwasababu ya jinsia yake, no bali hatoshi.

Haya mambo ya uraisi inapasa mtu agombee, hata kama akiwa mwanamke lkn anapogombea akashinda tayari huyo ni mkakamavu na sio umelala unaamka Rais kwa asilimia kubwa unakuwa ushafeli mana hukujiandaa, amalize muda wa Magufuli uliobaki atupishe.
 
Wewe si ndio huna akili Sasa mapovu Yako Mimi yananisaidia nini? Kamuulize nape mbona Huwa mnajadili huko Twitter? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mimi nakufikishia ujumbe kama ulivyo.Harafu una tabia ya kutukana Rais wewe jidanganye kwamba uko immortal.
Wewe mbn ulikuwa unamtukana Magufuli, ulikuwa immortal?
 
Huyu mama hatoshi, kuna sehemu anajitahidi tahidi kdg ila kiujumla hatoshi na sio kwa sababu ya jinsia yake, no bali hatoshi.

Haya mambo ya uraisi inapasa mtu agombee, hata kama akiwa mwanamke lkn anapogombea akashinda tayari huyo ni mkakamavu na sio umelala unaamka Rais kwa asilimia kubwa unakuwa ushafeli mana hukujiandaa, amalize muda wa Magufuli uliobaki atupishe.

well kept brother. I second every word you said.
 
I really doubt it. There are no regular A380 flights into Dar to justify the cost of an air bridge of that height. I believe there was one incident where an Emirates plane made an emergency stop there, and the passengers disembarked using regular air stairs from the lower level, not the upper deck? Happy to be proven wrong

View attachment 2569786
Napenda unavyoumbua hawa vinyangarika msee. 🤣 🤣
 
Hii account sikuizi imechemka mbaya sana, Russians wanajua the most significant country hapa East Africa ni Kenya, zingine punda tu. 🤣🤣🤣🤣 Wabongolala kumbe ngano mnalishwa tu over 70% na mkileta mahindi gunia mbili Kenya hatupumui. 🤣🤣🤣🤣

Mimi hushinda nikiwaambia, the only reason wabongo wana sauti humu ni kwa sababu mambo ya Kenya yapo wazi, shida za Kenya zipo wazi. Huko kwao wanaficha. Si huwa wanatucheka humu jinsi tunalishwa na Ukraine - nchi iliyo vitani? Ona wanaimport ngano nyingi Ukraine kutushinda. 🤣 🤣
 
Mnapenda sana kujifariji.
 
Nadhan akili imemkaa sawa sasa.. aache upole, asilele vigogo wa zaman ovyo, awe mkali.. apaswe kufanya maamuz yake na si kusikiliza vigogo waliostaafu. She's good lkn anawasikiliza vigogo wenye maslahi yao
Hio stupid na pumbavu nimeielewa.. imetoka moyon.. afu kafunga huyu
Hata mimi hii kauli niliisubiriaga muda mrefu hatimaye leo imekuwa. Magufuli alipokuwa akitukana haikuwa kwasababu hana busara na hekima bali ujinga wa watendaji wake ulivuka kipimo cha subira.
 
Back
Top Bottom