Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunachofurahia kupinguza hasara kwa almost 50% hio ndio furaha yetu vipi kwenu huko ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ 38.2b ksh ni sawa na 649b tsh na ni sawa over 320m usd

ATCL ishaitengeneza faida?
 
Dodoma sio size yenu ndio maana siiweki hapa pambana na fumba town kwanza ๐Ÿคฃ
Dodoma can't even compete Isiolo, so why try to compare it with Tatu City? Dodoma was started in 1970's lakini hadi wa leo bado ni kama tu Mandera.
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† dodoma imeanza kua capital city 1970 lakini serekali kuhamia dodoma na kuiendeleza na kua jiji imeanza within magufuli period hata ukikasirika ndio ukweli ndio maana huoni niki fanananisha na dodoma manake sio size yako kwanza malizana na fumba town
 
ATCL imefufulia just 3 yrs ago vipi itengeze faida within short period of time wakat investments inaendelea ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
1977 ni 3 years ago?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Screenshot_20230329-215533.png
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† dodoma imeanza kua capital city 1970 lakini serekali kuhamia dodoma na kuiendeleza na kua jiji imeanza within magufuli period hata ukikasirika ndio ukweli ndio maana huoni niki fanananisha na dodoma manake sio size yako kwanza malizana na fumba town
Asante kwa kubali kwamba Dodoma ilianza 1970 na bado haijafika hata 1% 50 years later.
 
ATCL toka imefufuliwa imepunguza hasara kwa almost 50% ni furaha yetu kua 2 yrs to come kwa speed hii tutakua tunazungumzia faida

Vipi kuhusu kq sasa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
ATCL haijawaipata faida na haitawahi pata faida pia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kufufuliwa air tanzania imefufuliwa na magufuli with 3 yrs period of time and still investments going on bado wanajenga karakana za ndege bado wameagiza ndege yani bado investments going on ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜†

Kwani ilikuwa imekufa?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Yani tangu 1977 ATCL hata hawajui profit ni kumaanisha nini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kama imeweza kupunguza hasara kwa almost 50% wewe nani uizuie istengeze faida wakat mwaka huu ndege tano mpya zinaingia ikiwemo ya mizigo ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
2023-1977. Hiyo ni 46 years bila faida and still counting ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ndio ilikua imekufa ndio maana ikafufuliwa baada ya kuhujumiwa na private sectors
 
Kama imeweza kupunguza hasara kwa almost 50% wewe nani uizuie istengeze faida wakat mwaka huu ndege tano mpya zinaingia ikiwemo ya mizigo ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Kwani tangu 1977 Mimi ndio nimezuia Air Tanzania kupata faida?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
2023-1977. Hiyo ni 46 years bila faida and still counting ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ww kinachokuuma ni kwann air tanzania imepunguza hasara kwa almost 50% toka kufufuliwa kwake just 3yrs ago ?๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† sasa hata ukiumia itakusaidia nn au utazuia nn
 
Back
Top Bottom