Karatasi ndio field yao mkuuDams on paper kumbe hua wanajua

Wekeni hapa miradi muhinu ya kuwakomboa kutoka kwenye lindi la umasikini na hali ngumu ya maisha kama ambavyo mnaandamana huko now sio kuweka vijengo viwili vitatu kila siku.
Alaf majengo yenyewe afadhal yangekua yao kumbe milki ya mchina 😆😆😆😆Wekeni hapa miradi muhinu ya kuwakomboa kutoka kwenye lindi la umasikini na hali ngumu ya maisha kama ambavyo mnaandamana huko now sio kuweka vijengo viwili vitatu kila siku.
Mwanza Airport
We bongolala hutatupangia cha kuweka hapa. Nyinyi mmeshindwa kuwakomboa omba omba wenu waliojaa kenya unatuambia nini sasaWekeni hapa miradi muhinu ya kuwakomboa kutoka kwenye lindi la umasikini na hali ngumu ya maisha kama ambavyo mnaandamana huko now sio kuweka vijengo viwili vitatu kila siku.
Wacha kuzungumzia ombaomba, angalia aibu ya Dunia hiiWe bongolala hutatupangia cha kuweka hapa. Nyinyi mmeshindwa kuwakomboa omba omba wenu waliojaa kenya unatuambia nini sasa
biznakenya.com
Upuuzi wa Dar port kuhandle 17M tonnes in a year?hebu watuache wa-sort out upuuzi wao bila kututaja!
We bongolala hutatupangia cha kuweka hapa. Nyinyi mmeshindwa kuwakomboa omba omba wenu waliojaa kenya unatuambia nini sasa





Ukweli... kuna mambo ya kijinga sana anayafanya kwenye hiyo route.Gari nzuri ila awe amejipanga kutoa huduma nzuri lasivyo yatabaki kama mapambo tu.
ABOOD BUS SERVICE,asipokuwa makini route ya DAR to BUKOBA itamshinda.
Ushindani utakuwepo kati ya basi na basi, yaani Kampuni ya basi itakayotoa huduma mbovu itakimbiwa na wasafiri.Sio rahis..
Ngoja niwaanalyzie vitu muone hali ilivyo..
Trains nyings, nauli ya chin kbsa kwa safari ya muda wa lisaa moja ni $10.. yan Tsh 23,000
Sasa mfano Dar hadi huko isaka sijui mwanza inatumia masaa sita mpk nane bas nauli kwa wastan inakuwa ni Tsh. 130,000 (6 hrs) mpk 180,000 (8 hrs) na kwa huku bongo au nchi za africa bei zinakuwa kubwa zaid.. sasa hiz ni naul za kwenda tu, wakat kwa bus ni kwenda na kurudi.. si wote wanaweza kuzimudu kwa safari moja.. so mabus yataendelea kuwepo tu kama kawaida
Naomba wakenya watusaidie nauli za garimosh zao ni sh ngap tuone uhalisia