Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna dafu moja linashuka kutoka juu 🤣 🤣 🤣

Fr97YyAWIAE90gT
 
Mshaanza kupingana wewnyewe kwa wenyewe. Mkipenda mpigane mangumi cause me I don't care😂😂
Nani kapigana na mtu hapa unabadilisha mada ?? Kwan hutak tanzania itumie EMU au unaweza kuzuia ??🤣🤣🤣acha wivu wakimama

Kasema ndio train yetu ni EMU zitaiuja kutoka germany sasa ww inaumia wapi?
 
Do you know the difference between a train and a railway? Nimesema our railway is Chinese First Class. That's the truth ukipenda ujinyonge😂😂
Nimekuuliza is this chinnese 1st class train 🤣🤣
Ndivo hua munadanganywa na wanasiasa
images - 2023-03-25T120721.821.jpeg
 
Nani kapigana na mtu hapa unabadilisha mada ?? Kwan hutak tanzania itumie EMU au unaweza kuzuia ??🤣🤣🤣acha wivu wakimama

Kasema ndio train yetu ni EMU zitaiuja kutoka germany sasa ww inaumia wapi?
Jamaa wako alisema Tanzania trains zenu ni EMU Sasa sijui mbona unakuja kunililia hapa?🤣🤣🤣
 
Kwani nyinyi mlivopeleka mashuka ya kimasai turkey ilikua mushamaliza matatizo yenu 🤣🤣🤣
Hatuna matatizo ya shuka, nyinyi mna matatizo ya pesa Hadi mnaomba wajapan misaada ya kuwajengea vyoo😂😂😂
 
Jamaa wako alisema Tanzania trains zenu ni EMU Sasa sijui mbona unakuja kunililia hapa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kwani hutaki au, ni shilingi ngapi zimewekezwa kutengeneza electrified SGR na shilingi ngapi zinahitajika kununua EMU pumbavu wewe usiokuwa na elimu.
 
Hatuna matatizo ya shuka, nyinyi mna matatizo ya pesa Hadi mnaomba wajapan misaada ya kuwajengea vyoo😂😂😂
Hamuna matatizo ya shuka wakat yanazalishwa kwa kutumia pesa au munazalisha bure 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom