Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi ndio vinawa tunaojenga modern electric rail in africa na ndio tunajenga the longest modern electric SGR in africa 🤣🤣 nashangaa kwann unaumia sana
There's nothing like electric SGR, idiot.
 
Martin maranja masese who is?? 🤣🤣🤣
That's a proper intelligent Tanzanian. He is wondering why your country is portraying the stupidity of donating to John and ask for donation from Jane on the same day😂😂
 
Huyo ni mjinga kama wajinga wengine na picha nyingi anazopost hua ni za uongo vile vile

Yank mm nastaajabu eti kenya inaumia kuona tanzania imetoa 1m usd malawi and 1m usd to turkey yani wanaumia kama kina nani???🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kila mtu anashangaa😂😂😂🤣

soma uelewe kilichoandikwa!

Kwanini Tanzania kuzisaidia Malawi na Uturuki kunazua mjadala?​

24 Machi 2023
Na Yusuph Mazimu, BBC Swahili
Malawi

CHANZO CHA PICHA,POLEPOLE

Wiki hii Tanzania imetoa misaada kwa mataifa mawili ya Uturuki na Malawi yaliyopitia masaibu na kuathiri maelfu kwa maelfu ya watu.

Tanzania imeisaidia Malawi msaada wenye thamani ya shilingi bilioni 2.3 ukiwa kwenye mfumo wa fedha taslimu na mahitaji ya kibinadamu, kufuatia nchi hiyo kukumbwa na kimbunga cha tropiki cha Freddy.

Magari 37 Makubwa yalipelekwa Malawi kusambaza misaada ya kibinadamu, mahema, chakula, mablanketi 6,000. Ikatoa msada wa kijeshi wa nguvu kazi na helkopta mbili kwa ajili ya kusaidia huduma za uokoaji na usambazaji wa misaada ya kibinadamu.

Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania ndilo lilipeleka misaada hiyo na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole aliongoza makabidhiano.

Kama haitoshi nchi hiyo pia imetoa msaada wa Dola za Marekani 1,000,000 kwa Uturuki kufuatia madhara ambayo nchi hiyo inepata kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Februari mwaka huu. Kwanini kuna mijadala kwa hatua hiii ya Tanzania kutoa misaada?

Kwanini Tanzania itoe misaada ilhali yenyewe inahitaji misaada?​

Msaada

CHANZO CHA PICHA,G/MSIGWA

Hili ni swali ambalo linajenga mjadala hasa kwenye mitandao ya kijami. Kwanini Tanzania itoe misaada wakati yenyewe inahitaji msaada, wate wake wanahitaji msaada na inaonekana haijajitosheleza?

Kiuchumi, ni miongoni mwa nchi masikini duniani. Mamilioni ya watu wanasotea huduma za afya, upungufu wa wataalamu wa afya, dawa, vifaa tiba, mamilioni hawafikiwi na elimu bora huku kukiwa na upungufu wa madawati, walimu, na miundo mindu bora ya elimu.

Pengine bilioni tatu za misaada ilizotoa katika juma moja lililopita zingeweza kujenga makumi ya madarasa, ama kununua vifaa tiba ama kujenga zahanati na kuokoa maisha ya maelfu ya watu.
Mamilioni ya watu hawana ajira, uduni wa teknolojia, huku mamia ya watoto chini ya miaka 5 maisha wakipoteza maisha kwa udumavu wengine kwa kukosa huduma bora za afya. Matatizo ni mengi lakini bado imekwenda kutoa misaada nje.

Msaada

CHANZO CHA PICHA,W/AFYA
Maelezo ya picha,
Tanzania ikipokea misaada kutoka Misri

Ni utamaduni wa kiutu na kibinadamu, ni urafiki na undugu, si rahisi kuona ndugu yako ama binadamu mwenzako anaathirika, amepata majanga makubwa, ukashindwa kumsaidia, watanzania hatujaumbwa hivyo’, anasema Raphael Magoha, mtaalamu wa fedha anayefuatilia masuala ya kijami.

Lakini hoja hii ya Magoha, haonekani kukubalika na baadhi.

‘Kila siku tunapokea misaada, mwaka jana tu tumepokea madawa toka Misri, inaonyesha tunauhitaji lakini na się tunatoa msaada kwa wengine, inachanganya’, anasema Seif Shangali.
Anachokisema Shangali pengine anarejea msaada vifaa tiba uliotolewa Septemba, 2022 na Misri kwa Serikali ya Tanzania, kwa ajili ya kuboresha huduma za afya nchini humo. Vifaa hivyo vilikuwa na vyenye thamani ya dola za Kimarekeni elfu 27 (USD 27,000), ambazo ni sawa na takribani shilingi milioni 62.9 za kitanzania.

Si jambo geni Lakini kwa nini sasa?​

Ukombozi

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Tanzania wakati wa utawala wa Nyerere ilishiriki si mara moja kusaidia ukombozi wa mataifa mengi Afrika

Miaka minne iliyopita, chini ya utawala wa Rais John Pombe Magufuli, Tanzania pia ilizisaidia chakula na wa nchi za Malawi, Zimbabwe na Msumbiji zilizokuwa zimekumbwa na kimbunga na mafuriko. Ilitoa tani 8 za dawa kwa kila nchi, na tani 214 za chakula.

Profesa Paramagamba Kabudi, aliyekuwa waziri wa masuala ya kigerni na waziri wa afya Ummy Mwalimu ndiye waliokabidhi misaada hiyo kwa mabalozi wa nchi hizo nchini Tanzania, na Kabudi alisikika akisema hatua hiyo ni ‘‘Kuendeleza urafiki mwema na utamaduni wa kusaidiana’’.

Hakuna asiyefahamu Tanzania ilivyokuwa kitovu cha ukombozi wa nchi nyingi za Afrika. Ulikuwa msaada mkubwa zaidi wa kukomboa mataifa ya Afrika yaliyokuwa yanapambania uhuru. Rais wa kwanza Julius Nyerere aliungana na viongozi wengine mashuhuru Afrika kama Nelson Mandela, Samora Machel, Joaquim Chissano na Kenneth Kaunda kusaidia nchi zote za Kusini mwa Afrika kujipatia uhuru wake wa bendera.

Ruhusu maudhui? (Mitandao ya kijamii)
Mkala hii imebeba madhui yaliyotoka kwenye mitandao ya kijamii. Tunaomba ruhusa yako kabla kitu chochote hakija pakiwa, sababu wanaweza wakawa wanatumia Cookies na tekinolojia nyingine. Unaweza ukasoma sera sera ya kutumia cookies katika mitandao ya kijamii kabla ya kukubali.

Tanzania pia ilikuwa mwenyeji wa vikundi vingi vya wapigania uhuru na kutoa hifadhi achilia mbali kuwa Makao ya Kamati ya Ukombozi ya Bara la Afrika.

Lakini kwanini sasa? Pengine ni kutokana na athari mbaya zaidi zilizojitokeza kwa mataifa iliyoyasaidia. Malawi imekumbwa na kimbunga cha Freddy kilichosababisha vifo vya zaidi ya watu 300 katika nchi hiyo na Msumbiji.

Mwanzoni mwa mwezi Februari, 2023, Uturuki ilikumbwa na moja ya majanga makubwa zaidi duniani lililopoteza zaidi ya watu 45,000 kati ya watu zaidi ya 50,000 waliofariki dunia kutokana na tetemeko la ardhi lililoikumba nchi hiyo na Syria.

Maelfu ya watu wamekuwa mahitaji ya kibinadamu kama chakula, dawa na malazi. Umoja wa Mataifa kupitia mfuko wake Mkuu wa dharura (CERF) ulitenga zaidi ya dola 25 milioni kwa ajili ya kusaidia watu walioathirika na tetemeko hilo.

‘Mataifa mengi, mashirika mengi yalijitolea kusaidia, kwanini isiwe Tanzania hata kwa kidogo tu?, hiyo inaonyesha mshikamano na kuguswa, kuna kesho na keshokutwa’, alisema Magoha.

Ziko kiwandani germany na zitaingia mwaka huu mwezi wa 8 au 9 shida iko wapi??🤣🤣
Ebu tuonyeshe picha zao. Tulianza kuambiwa zitafika 2020 September, today is 25th March, 2023 bado tunaambiwa tu zitafika mwaka huu. Ujinga and ufala combined together.
 
Continue dreaming, there's only one functioning SGR in the region.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umia taratibu ili usipate magonjwa yasiokua na faida kwako
leo mumesahau kuoneshwa 1km of railway from tanzania au hio story ilishaisha
 
Mbona niumie wakati we have a functioning SGR?
 
Ebu tuonyeshe picha zao. Tulianza kuambiwa zitafika 2020 September, today is 25th March, 2023 bado tunaambiwa tu zitafika mwaka huu. Ujinga and ufala combined together.
Ziko kiwandani picha nizitoe wapi ?? Au hoja umeishiwa sasa 🤣🤣🤣🤣

Kuna sababu nyingi ya treni kuchelewa ikiwemo covid ilisababisha na sisi tunaagiza brand new ambazo zinatumia 2yrs+ ujenzi
 
Back
Top Bottom