Piga hesabu mwenyewe mgawane na Ethiopia na SomaliaHebu niletee data ya idadi ya wakenya wamekufa njaa mwaka huu pekee yake
Sasa wewe unataka bei ya unga iwe chini wakati hamjalima wala kuwekeza kwenye kilimo wala miundombinu yake mnachekesha sana. Lazy thinking lazy hata kwenye kilimo.sababu ni haki yetu kuandamana kama bei ya unga iko juu
70% ya watanzania wanaoishi vijijini huwa hawañunui Vyakula. Tanzania Ugali sio "staple food" katika maeneo yote ya nchi, kwahiyo hata Kama bei ya unga ikipanda, sio tatizo la nchi nzima.Kuna jamaa wao mmoja nilimuuliza jana the same thing atuambie bei ya unga, mafuta na sukari huko kwao tulinganishe na bei zetu. Bado nangoja jibu lake hadi saa hii
Mzungu gani ananunua maua sasa hvi??🤣Maua tunauza kisha tunanunua mahindi. The thing is, kilimo ya mahindi has low ROI ikilinganishwa na mazao mengine kama za horticulture. Ndio maana tunakuja maua na mimea zingine na kutumia pesa tunayopata kununua mahindi
Kenya inapata pesa nyingi kwa kilimo kushinda TanzaniaSasa wewe unataka bei ya unga iwe chini wakati hamjalima wala kuwekeza kwenye kilimo wala miundombinu yake mnachekesha sana. Lazy thinking lazy hata kwenye kilimo.
sawa mganga ajuaye maisha ya kila mtuSays a person who has not eaten for two days due to lack of food[emoji2]
Sasa mbona hata foreign reserve ya kuwatosha hakuna Kenya?. Mbona msiuze hayo maua na chai mkapata pesa ya kutosha mkaweka "subsides kwa vitu muhimu kama mafuta, umeme na chakula Ili kupunguza gharama za maisha?Maua tunauza kisha tunanunua mahindi. The thing is, kilimo ya mahindi has low ROI ikilinganishwa na mazao mengine kama za horticulture. Ndio maana tunakuja maua na mimea zingine na kutumia pesa tunayopata kununua mahindi
Hakuna siku dollar itakua currency ya mwanaichi wa kawaida kulipa bills. Soma article najua hulelewi kizunguYes matako yenyewe ni Kenya Power company na regulator wenu and the whole nation in general [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenya Power tests regulator with electricity bills set in dollars, euros
Kenya Power will start charging some of its customers in dollars and euros.www.businessdailyafrica.com
Sasa kwann mnapanic bei kua juu na hamlimi nyie?what's the point?Hebu tuletee bei ya unga Tanzania tulinganishe. Na ufahamu mwaka jana tumekua na kiangazi ndo maana ukulima wa mimea kama mahindi ulitatizika
Alafu wakenya waliacha kukuza mimea ya kipuzi kama mahindi unless iwe large scale. Unapata inakugharimu around 2000 kukuza mfuko moja wa 90kg kisha uiuze 2500 baadae ya miezi 7. Mahindi haina faida kenya, wakulima wengi wanaona heri kukuza mimea ina faida kama horticulture kisha wanunue mahindi ya matumizi yao kutoka kwa wakulima wengine
Hawa Elsewedy wako Kigamboni wanajenga kiwanda cha vifaa vya umeme huko.[emoji91][emoji91][emoji91]
Sishangai most of their roads are built without drainage system
Unga 1kg kenya sasa hivi ni around 100-110ksh ambayo ni between 1700-1800 pesa za Tanzania. Sukari 1kg around 140-160( 2400-2800tsh). Mafuta ya salad 5L 1300-1600(22-27k tsh)Bei ya unga inatofautiana na eneo
Mfano Sehemu ninayoishi Unga sembe 1kg ni 1800 na unga wa mahindi yasiokobolewa ni 1700 kwa kg..Tshs
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kwahyo 1800 ya unga 1kg ndio inawapiga chenga? Au mna agenda ingineUnga 1kg kenya sasa hivi ni around 100-110ksh ambayo ni between 1700-1800 pesa za Tanzania. Sukari 1kg around 160( 2700-2800tsh). Mafuta ya salad 5L 1300-1600(22-27k tsh)
It depends na mahitaji na available infrastructure na malighafi.Nilijaribu tu kuwaza kulingana na distribution zones zao. Ndio nikauliza kwanini viwanda viwili ndani ya zone moja!?
Tunanunua unga karibia bei moja na wadanganyika alafu unasema sisi hatufai kuandamana. Wakenya ni matajiri kuliko wadanganyika. Nyinyi bakini kwa umaskini wenu na kunyamazishwa na CCMBei ya unga inatofautiana na eneo
Mfano Sehemu ninayoishi Unga sembe 1kg ni 1800 na unga wa mahindi yasiokobolewa ni 1700 kwa kg..Tshs
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
This poor souls from danganyikaland cannot afford unga huko kwao but they cannot protest because of CCM ruthlesness na uoga mingi ya ujamaaUnga 1kg kenya sasa hivi ni around 100-110ksh ambayo ni between 1700-1800 pesa za Tanzania. Sukari 1kg around 160( 2700-2800tsh). Mafuta ya salad 5L 1300-1600(22-27k tsh)
Jurisdiction ya Kenya why pay bills in dollars ama nchi imeshawashinda muanze ku print noti zenye expiry dates. Aliesema Kenya worse than Zimbabwe hakukosea.Hakuna siku dollar itakua currency ya mwanaichi wa kawaida kulipa bills. Soma article najua hulelewi kizungu
Ndio maana wameshindwa kununua mahindi.Mzungu gani ananunua maua sasa hvi??[emoji1787]
Mzungu anatumia arable land kupanda maua kenya alaf anawaacha wakenya wanakufa njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tokea covid munamuuzia nani maua[emoji116]
Mkuu haya majengo unayapenda sana mana kila siku unayaonyesha haya haya, safi sana.Mchina mungu ambariki kwa kuwekeza Nairobi kwa kishindo
GTC COMPLEX