Watu wnaakunywa bia kaskazini sio mchezoArusha kipo Kiwanda Njiro pale... Mbona wanaweka tena na Moshi jirani tu hapo?
Hawataki kutanua uwanja na masoko? Distribution zones hapo zitakuwaje?
SBL nao wako na kiwanda Moshi, Huko bia watauziwa buku buku...
Nchi yenu ni failed state, msipoandamana hakuna kitakachofanyika, ninyi ni Kama wanyama wa porini, Ili Simba aweze kupata chakula, lazima Zebra auwawe.hamuwezi andamana CCM itawaua
Elimu Yao ni ya kuwawezesha kwenda kufanyakazi nchi za nje Ili kutumia "Remittances", sio kujenga uchumi wao kutokea ndani.Fanyeni siasa ya kilimo kwanza,hamtawahi pata bei nafuu kwa mahindi ya kununua,
Alafu mmesoma na bado hamjaelimika
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hahahaha, hahahaha, hahahaha.kenya has a bigger GDP per capita than Tanzania
Yeah right thats why soon you will start paying your electricity bills in US Dollars [emoji2]kenya has a bigger GDP per capita than Tanzania
Tuandamane kwa sababu zipi? Au tuwaige nyinyi kisa mumeandamana ??😆😆😆hamuwezi andamana CCM itawaua
says a CCM die hard,, hio habari umetoa kwa matako ama?Yeah right thats why soon you will start paying your electricity bills in US Dollars [emoji2]
Kenya tunatengeneza pesa nyingi kwa kilimo kuliko TanzaniaFanyeni siasa ya kilimo kwanza,hamtawahi pata bei nafuu kwa mahindi ya kununua,
Alafu mmesoma na bado hamjaelimika
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kwa hivyo hujaona barabara kwenye hizi picha? Uko na tatizo mahali kama hujaona Barabara hapaSasa hii picha uliyoweka ili ilete mantiki ilipaswa kuwe na miundombinu wezeshi mfano barabara makini ili kusadifu maghorofa lakini bado barabara hazijapewa kipaumbele hapa na ndiyo muhimili wa ukuaji wa uchumi kwa hizi nchi zetu maskini.
Mwambie. Ukanda huu hakuna nchi inaingiza pesa nyingi kwa horticulture kushinda KenyaKenya tunatengeneza pesa nyingi kwa kilimo kuliko Tanzania
Kilimo gani na munakufa njaa ???🤣🤣🤣🤣 nchi ima madeni mpaka juu ya ulimi na haiwezi hata kuyalipaKenya tunatengeneza pesa nyingi kwa kilimo kuliko Tanzania
Na mbona munakufa njaa shida iko wapi ?? Au maisha ya mkenya hayana thamanu mbele ya pesa ?? Badilikeni dunia inawatupa mkono kwa sifa za kipuuziMwambie. Ukanda huu hakuna nchi inaingiza pesa nyingi kwa horticulture kushinda Kenya
💯💯💯💯💯💯💯Mwambie. Ukanda huu hakuna nchi inaingiza pesa nyingi kwa horticulture kushinda Kenya
Hebu niletee data ya idadi ya wakenya wamekufa njaa mwaka huu pekee yakeNa mbona munakufa njaa shida iko wapi ?? Au maisha ya mkenya hayana thamanu mbele ya pesa ?? Badilikeni dunia inawatupa mkono kwa sifa za kipuuzi
Nmeona hadi nyumba niliokua nmepanga apo kijitonyama[emoji2][emoji2]
Sasa jiulize tena,mnatengeneza pesa nyingi mbona bei ya unga iwe issue?(sema wanatengeneza wakubwa pesa SIO TUNA)Kenya tunatengeneza pesa nyingi kwa kilimo kuliko Tanzania