REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,675
- 11,686
But Kenya is still richer than Tanzania in any dimesion measurable... means Tanzanians are living a worser life than Kenyans nowonder we have Tanzanina beggars in Kenyans streets and not the vice-versa
Baada yakupost picha za gate ya infinity sasa ukaona upost na render ili ukoleze zaidi 🤣🤣🤣🤣🤣 ni vichekesho kwa kweliYani hizi vitu ndio mmeamua kuvi9na leo? 😂😂
Alafu tukisema we are not on the same level mnasema ni dharau
INFINITY INSUSTRIAL PARK View attachment 2561944View attachment 2561945View attachment 2561946View attachment 2561947View attachment 2561948
NAIROBI GATE INDUSTRIAL PARK
View attachment 2561951View attachment 2561952View attachment 2561953View attachment 2561954View attachment 2561955View attachment 2561956View attachment 2561957
SAMEER INDUSTRIAL PARK
View attachment 2561963View attachment 2561964View attachment 2561965View attachment 2561966View attachment 2561967
View attachment 2561968
Ok nimekuelewa Boss, si kwa ubaya lkn [emoji120]Street hawker, kuna ufasaha wa lugha na kuna namna ya tafsiri ya lugha kutokana na mazingira, hivyo ni vitu viwili tofauti, wacha kuwa mpumbavu..
Unaweza kutafsiri/kutamka neno vyovyote unavyoweza lakini ipo namna sahihi ya kutamka neno hilo au ipo tafsiri sahihi ya neno hilo.. sisi waTz ndio wenye lugha ya kiswahili na tunakijua haswaa pasi na shaka, ndio tupangiwe namna ya matamshi ya lugha yetu.? (Ingawa wapo miongoni mwetu ambao matamshi yao yameathiriwa na mother tongue) tupangiwe tafsiri ya maneno katika lugha yetu.? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na watu ambao lugha hawaijui ..
U must be fucking crazy..
And your point is?Kalenjins is made up of more than 10 sub tribes.... next quesion
Affordable ingekuwa otherwise tungeandamana [emoji2]Beiya unga, mafuta ya kupika, na sukari ni shs huko kwenu?
Mechi ikitangazwa wanasema Simba from Tanzania [emoji1241] na pia bendera ya nchi inapepea uwanjani na mashabiki hujua kuwa hii timu imetoka Tz na kuanza kufuatilia Tz in that sense.Hiyo ni promortion bongolala. Hata jersey ya Arsenal imeandikwa Visit Rwanda. Sasa inamaanisha kwamba Arsenal ni club ya Rwanda? Ama kwamba wanapeperusha bendera ya Rwanda? Wewe ndio mandazi, tena ile imeungua kabisa!
Hiki kituo kitajengwa Gavoo city.?Dodoma itanoga
8-8 karibu na stand ya Dodoma mpyaHiki kituo kitajengwa Gavoo city.?
Watu wa Moshi wanakunywa sana inafika wakati beer zinatoka Dar kupelekwa Moshi capacity ya kiwanda cha Arusha haitoshelezi.Arusha kipo Kiwanda Njiro pale... Mbona wanaweka tena na Moshi jirani tu hapo?
Hawataki kutanua uwanja na masoko? Distribution zones hapo zitakuwaje?
SBL nao wako na kiwanda Moshi, Huko bia watauziwa buku buku...
Hatujawahi kushuhudia maana hatujawa na sababu ya kuandamana.huelewi kwa nini watu huandamana sababu ni kitu ambacho hujawahi shuhudia
Hii ingekuwa inajengwa huko Tanganyika the whole world would have known