Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Anataka kujaribu kujifanya eti na yeye anajua kiswahili, kwamba mimi nimekosea kutokana na kushindwa kutofatisha kati ya L na R ..🤣🤣🤣 zuzu kabisa hilo jamaa.Wewe uko na matatizo ya akili, hauko sawa wewe.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Samahani kwa swali Boss, kwani ninyi Wakenya kipaumbele chenu katika kujenga uchumi imara wa nchi ni maghorofa? Samahani lkn mana sielewi elewi hii battle wengine wakionyesha miundombinu muhimu kama barabara, viwanda, reli, hospitali, shule, mashamba n.k wengine wanaonyesha maghorofa, samahani kwa swali langu lisieleweke vibaya japo maghorofa nayo muhimu ila sidhani kama ni muhimu sana kwa maendeleo ya uchumi wa nchi.South C is a beehive of activities. View attachment 2561923
Haya ndiyo mambo tunataka kuyaona, safi.Kenya: Moyale roads
View attachment 2561942
Sijaona mantiki ya hii picha Boss unataka kutuonyesha nini hapa mkuu.That view of WESTLANDS through the window!!!
View attachment 2561940
Mm nadhani hata yeye pia yuko sahihi inategemea na anapotoka wanatafsiri vipi.[emoji1787][emoji1787] Sio pilika pilika, ni pirika pirika.. kwa watu wenye shida ya kutofatisha L na R ndio wanasema pilika pilika, Ila kiswahili fasaha ni pirika pirika.. mimi sina shida kwenye mother tongue lil man ..
Sijaona mantiki ya hii picha Boss unataka kutuonyesha nini hapa mkuu.
Kariakoo comes nowhere close to EastleighEastleigh and the imposing BBS MallView attachment 2561908View attachment 2561910View attachment 2561911View attachment 2561915
Yani hizi vitu ndio mmeamua kuvi9na leo? 😂😂Inaonekana Tanzania inampango wa kuwa donor country ukanda wote wa East and Central Africa.. ukiachana na SINOTAN INDUSTRIAL PARK kuna industrial park nyingine mpyaa hapo mjini MLANDIZI kwa jina la KAMAKA INDUSTRIAL PARK, jamaa ni mtanzania, yeye atawekeza $48 million .. maelezo yote pita chini hapo 👇. Tunaendelea kinoma noma
Unfortunately KDF can't defeat bandits in PokotWhere KDF has operated in peace missions. The biggest contribution by any African country
View attachment 2561943
Sasa hii picha uliyoweka ili ilete mantiki ilipaswa kuwe na miundombinu wezeshi mfano barabara makini ili kusadifu maghorofa lakini bado barabara hazijapewa kipaumbele hapa na ndiyo muhimili wa ukuaji wa uchumi kwa hizi nchi zetu maskini.Eastleigh and the imposing BBS MallView attachment 2561908View attachment 2561910View attachment 2561911View attachment 2561915
Nisieleweke vibaya Boss [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hatua muhimu katika kuachana na swala la kuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa safi, tunataka mambo kama haya.Yani hizi vitu ndio mmeamua kuvi9na leo? [emoji23][emoji23]
Alafu tukisema we are not on the same level mnasema ni dharau
INFINITY INSUSTRIAL PARK View attachment 2561944View attachment 2561945View attachment 2561946View attachment 2561947View attachment 2561948
NAIROBI GATE INDUSTRIAL PARK
View attachment 2561951View attachment 2561952View attachment 2561953View attachment 2561954View attachment 2561955View attachment 2561956View attachment 2561957
SAMEER INDUSTRIAL PARK
View attachment 2561963View attachment 2561964View attachment 2561965View attachment 2561966View attachment 2561967
View attachment 2561968
Ila huku napo watu hawajalala, tushindane kwa vitu vyenye tija kama hivi.Yani hizi vitu ndio mmeamua kuvi9na leo? [emoji23][emoji23]
Alafu tukisema we are not on the same level mnasema ni dharau
INFINITY INSUSTRIAL PARK View attachment 2561944View attachment 2561945View attachment 2561946View attachment 2561947View attachment 2561948
NAIROBI GATE INDUSTRIAL PARK
View attachment 2561951View attachment 2561952View attachment 2561953View attachment 2561954View attachment 2561955View attachment 2561956View attachment 2561957
SAMEER INDUSTRIAL PARK
View attachment 2561963View attachment 2561964View attachment 2561965View attachment 2561966View attachment 2561967
View attachment 2561968
The same way you look our issues of governance through tribalism is the same way we look of ur governance through only one party CCM. Uzuri au ubaya ni kila mtu anajua ya kwake. As have told you sisi bargaining of national cake is done through our origin of blocs & the population. We can't bury our head in the sand and assume we don't have tribes. Kila kabila lazima napenda la kwao kwanza kisha tuna negotiations na yule ambaye ana self ideology kama wewe in the grassroots level. Kwa hvyo siasa yetu ni local, its politicians who cause friction between masses.You want to tell us that all Kenyans can't control their lives, instead politicians decide for them?.
Kenyans embrace tribalism than any other thing, that is the core of your problem, the sooner you accept the reality and work on it, the better. Do not hide your head below the sand.
Tribes and tribalism are two different things, in Tanzania we have over 130 tribes, but we don't have tribalism.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Street hawker, kuna ufasaha wa lugha na kuna namna ya tafsiri ya lugha kutokana na mazingira, hivyo ni vitu viwili tofauti, wacha kuwa mpumbavu..Mm nadhani hata yeye pia yuko sahihi inategemea na anapotoka wanatafsiri vipi.
🤣🤣🤣 Watakufa labdaKwani wakisema njaa ndio iliowasababisha kuandamana watakufa au?
Watakufa sana basi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Watakufa labda
🤣🤣🤣 Unaleta kulinganisha industrial Park zenye viwanda zaidi ya 200 each vs hivi viwanda kumi vyenye umepost...?Yani hizi vitu ndio mmeamua kuvi9na leo? 😂😂