Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
The Heart of Nairobi , nikiwa natembea kidogo
Kati kati ya Jiji apo
Here we gobreaking news!!!!!.
deal done...wale wakenya wajinga waliokuwa wanasema tz haitofanikiwa kufikia muafaka wenye faida na kampuni ya barrick gold,sasa wanaficha sura zao kwa aibu.
![]()
![]()
![]()
Haifikii hata ukucha kwa beach hotels mbele ya zanzibar au dar es salaam hata ukucha 😀😀😀Mombasa pwani kidogo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sawa chokoraa...😀😀 by the way vipi kuhusu manzense??😀😀😀 kisha nitaftie marina kama hii toka Bongo...ukipata unitag😛😛😛Haifikii hata ukucha kwa beach hotels mbele ya zanzibar au dar es salaam hata ukucha 😀😀😀

good news....ila remind me why you are still LDC ndugu...nimesahau kidogo..deal done...barrick gold wamekubali matakwa muhimu ya tanzania.
wakenya someni namba vizuri..
analysts say terms of the agreement have never been done in any country in africa...ni tanzania pekee.
...they have agreed to pay us 300 million USD.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mbona hujaulizia zanzibar😛😛😛😛😛😛 nilikwambia mombasa nzima munategemea marina na hakuna kinginesawa chokoraa...😀😀 by the way vipi kuhusu manzense??😀😀😀 kisha nitaftie marina kama hii toka Bongo...ukipata unitag😛😛😛
![]()
We kuwa mstaamilivu tu, mda si mrefu tutapanda daraja tu. Ila ukumbuke ya kuwa tanzania itakuwa middle country ya ukweli wala si kama ya kenya ya kwenye makaratasi.good news....ila remind me why you are still LDC ndugu...nimesahau kidogo..![]()
![]()