Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


2022 ndio mli install hizi alafu mateta sana 🤣


Mm naomba mkenya mmoja ajitokeze anioneshe modern and advanced airport luggage system kama hii ya JNIA terminal 3 👇👇👇👇👇👇
View attachment 2557246





FrhS5QoXsAwUWu6


FrhS5QjWAAEkO4k


FrhS5QiWwAAcFkr


MY TAKE
Wapi Lamu Port?

Damn it Wakundustan!

lamu port imekuwa host and conduit ya mazizi!



FfGdvXhXEAENzTu


FfGd64VWQAEaB3G

 
Alaf angalia ulivokua chizi yani data ya kenya unaleta 2020 na data ya tanzania unaleta 2016 🤣🤣🤣🤣 na hii nikuonesha kua hamujiamini kwenye ushindani ikiwa tanzania 2022 ime export cotton as raw material over 103m usd unategemea nguo zitauzwa kiwango gani ??

Yani tunauza raw materials + finishing goods kwa pamoja 😆😆😆


Data ya Tanzania ya 2016 ulileta wewe mwenyewe bongolal

Na hata hiyo yenu ya 2022 bado hauguzi ya Kenya ya 2020! 😂😂

Tanzania 2022 $103.4m
FrmZPBTWIAAwE0Y.jpeg


Kenya 2020 $420m 😂😂😂😂
Screenshot_20230319-203916~2.png


Nyinyi number yetu mtasoma hadi kiama
 
Back
Top Bottom