Teargas njoo uzuie sasa 🤣🤣🤣🤣🤣
Raha sana kukutana na mtu mwenye wivu na roho mbaya alaf mbaya zaidi Mungu hamsikilizi
View attachment 2558525View attachment 2558526
Alaf angalia ulivokua chizi yani data ya kenya unaleta 2020 na data ya tanzania unaleta 2016 🤣🤣🤣🤣 na hii nikuonesha kua hamujiamini kwenye ushindani ikiwa tanzania 2022 ime export cotton as raw material over 103m usd unategemea nguo zitauzwa kiwango gani ??Tukisema mtasoma numbernumber yetu hadi kiama this is what we mean
Kenya
View attachment 2558479
link
![]()
The key to Kenya’s industrial growth | D+C - Development + Cooperation
Kenya’s textile and apparel sector is struggling with various bottlenecks. The government wants to improve matters.www.dandc.eu
Tanzania
View attachment 2558480
Link
![]()
Tanzania’s Textile and Apparel Industry Benefits From Cotton Production
The textile and apparel industry in Tanzania is on route to become one of the leading sourcing sectors and foreign investment destinations in Africa. The countblog.bizvibe.com
When it was this? 🤣🤣🤣🤣 dunia inarudi nyuma au inasonga mbele
Siku hizo takataka zenu zitafunga Gor Mahia come we talk🤣😂🤣When it was this? 🤣🤣🤣🤣 dunia inarudi nyuma au inasonga mbele
Team za tanzania zote zimeingia quater final maana yake mwakani tanzania inaingiza team 4 CAF 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nimeuliza swali ilikua mwaka gani ??? Na je dunia inakwenda mbele au nyuma 🤣🤣🤣
Nimeshangaa tanzania unaleta data ya 2016 ila kenya 2020 alaf uko serious unataka ushindani 🤣🤣🤣🤣🤣 fikeni mahala mukubaliane na hali tanzania ni moto yani moto kweli kweliUmeona Kenya's textile industry inatengeneza internationally recognized designer brands sasa unatafuta pa kutorokea!😃😃
That first tweet you shared I have chosen to stick with textile since it was the bone of contention. In 2021, Kenya's total textile exports was valued at Ksh 33 billion ($330 million) wakati ya Tanzania was $121 (according to the same tweet you shared)
Kuhusu export value ambayo pia umeguzia kwenye hiyo tweet ya mwisho, Kenya's total product export value in 2020 was $6.52b
View attachment 2558546
(about 6 times what you exported two yeas later in 2022 according to your own tweet)
Hii vita hauwezani bongolala. Stick to your empty rhetoric talk. That's what you are good at
Zanzibar wanasemaje? Ama tuite moderator akusaidie kujibu?🤣😂🤣🤣From 2021 to 2023 leo hii mumepokea meli 19 ohhh GOD nilikua nasema mm hapa lamu port ni white 🐘🤣🤣🤣🤣🤣 yani kutoka 19th feb ndio munapokea meli 19th march
Tanga wamefungua bearth this month ishapokea meli tatu within two weeks 🤣🤣
Zanzibar hoyee😂🤣🤣2021 to date meli 19 hahahaha 🤣🤣 yaani nimecheka mpaka basi
Yani nimecheka mpaka basi nikisema white elephant unakasirika kutoka 2021 to date only 19 vessels hvi ww huoni hata aibu 🤣🤣 na nikisema ni white elephant unakuja juu unafuraZanzibar wanasemaje? Ama tuite moderator akusaidie kujibu?🤣😂🤣🤣
Anyway our dear watchman The best 007 kanasemaje? Mwambie moderators wamesema watanichapa ban last year😂🤣🤣
Transshipment hub💪💪💪Yani nimecheka mpaka basi nikisema white elephant unakasirika kutoka 2021 to date only 19 vessels hvi ww huoni hata aibu 🤣🤣
Transshipment hub💪💪💪