Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
Bado Tanzania ni LDC kwa hii link yako 🤣 🤣 ... najua Danganyika maisha ni rahisi na kila mtu ni tajiri hamuhitaji maandamano ndio maana nyinyi ni LDCFuatilia hiyo link niliyokuwekea, usinipotezee muda. Kesho nenda kwenye maandamano ya "baba" ukalalamike kuwa hali ni mbaya sana huko unyang'auni.🤣
Kenyans are still living in a dream. The world is moving forward. The changes are huge. Within just one year there are big changes.Bado Tanzania ni LDC kwa hii link yako 🤣 🤣 ... najua Danganyika maisha ni rahisi na kila mtu ni tajiri hamuhitaji maandamano ndio maana nyinyi ni LDC
View attachment 2558781
Mbona umekasirika? Nenda kwenye maandamano ya “baba” wanakungoja huko.Bado Tanzania ni LDC kwa hii link yako 🤣 🤣 ... najua Danganyika maisha ni rahisi na kila mtu ni tajiri hamuhitaji maandamano ndio maana nyinyi ni LDC
View attachment 2558781
siwezi kasirikia mtu kutoka LDCMbona umekasirika? Nenda kwenye maandamano ya “baba” wanakungoja huko.
Unanichekesha sana wewe nyang’au. Wenzako wanaandamana wewe uko huku unabishana, ha ha ha.siwezi kasirikia mtu kutoka LDC
View attachment 2558803
sure, hawa akina mayele, musonda, k aziz hawana tofauti na akina lunyamila, mohamed hussein, kizota etal tatizo club za Tanzania hatutaki kuwekeza kwa academyNilimsikia mzee Sunday Manara akisema, tungewatumia hawa wachezaji wakigeni kujenga vipaji vya wachezaji wetu (wazawa) chipukizi.
Hii ya club kutegemea kununua wachezaji nje siyo nzuri sana kwa Taifa.
Hawa tumeshawazidi Kila eneo, wanachotuzidi ni kupenda kujisifu, njaa, ukabila na wasichana wabayaHaya sasa, chanel ya Kenya inaonesha mpira wa Tanzania!
Nani anamfatilia nani sasa!!View attachment 2558318
wakunya acheni uwongo, uliyoshare ni document ya mwaka 2002siwezi kasirikia mtu kutoka LDC
View attachment 2558803
bado mkunya anaota na taarifa za mwaka 2002 wakatika TANZANIA ikiwa haina hata wazo la kuwa na SGRKenyans are still living in a dream. The world is moving forward. The changes are huge. Within just one year there are big changes.
If you don't want to change by free will, Change will force you to change
Linganisha vitu vyenye kufanana wewe boya, huna akili. Cotton inayozalishwa Tanzania, 15% inauzwa nje Kama Cotton, the rest hutengenezwa na kuuzwa Kama garments.Tukisema mtasoma numbernumber yetu hadi kiama this is what we mean
Kenya
View attachment 2558479
link
![]()
The key to Kenya’s industrial growth | D+C - Development + Cooperation
Kenya’s textile and apparel sector is struggling with various bottlenecks. The government wants to improve matters.www.dandc.eu
Tanzania
View attachment 2558480
Link
![]()
Tanzania’s Textile and Apparel Industry Benefits From Cotton Production
The textile and apparel industry in Tanzania is on route to become one of the leading sourcing sectors and foreign investment destinations in Africa. The countblog.bizvibe.com
MKUNYA HAWEZI KUKUJIBU HILI SWALINimeuliza swali ilikua mwaka gani ??? Na je dunia inakwenda mbele au nyuma 🤣🤣🤣
Ww huoni raha east africa imewakilishwa vyema 😆😆😆😆View attachment 2558556View attachment 2558559
Nasikia huko maandamano yamekatazwa na polisi wanatimua watu kwa mabomu ya machozi, vipi nchi yenye demokrasia kuzuia maandamano ya amani, au katiba mpya imezeeka mnahitaji katiba nyingine?Hii ni data ya 2023 mdanganyika ndio hio link hapo. Tanzania bado ni LDC![]()
![]()
![]()
Kesho nko maandamano mbaya sana ni haki yangu. Kenya sio kama Dangagiza ukiandamana CCM wanakupiga risasi kama Tundu Lisssu![]()
UN list of least developed countries
There are currently 44 economies designated by the United Nations as the least developed countries (LDCs), entitling them to preferential market access, aid, special technical assistance, and capacity-building on technology among other concessions.unctad.org
![]()
Uko na stima kwako?😂😂🤣Nasikia huko maandamano yamekatazwa na polisi wanatimua watu kwa mabomu ya machozi, vipi nchi yenye demokrasia kuzuia maandamano ya amani, au katiba mpya imezeeka mnahitaji katiba nyingine?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Shukuru Mungu tanzania imeiwakilisha east africa vema na dua la kuku halimpati mwewe 🤣🤣 unaumia ukiwa wap na je umeshiba ?We all know how it will end.....
Achana nae chizi huyo ana hasira na njaa🤣Wewe kiazi hujui hata ku interpret data.