ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Eti nguo za kariakoo 🤣🤣🤣🤣 nyinyi muna viwanda gani bana mambo yanawaumbua sasa hviNdio Nilikuambia utashudia aje wakati unanunua nguo kuu kuu kariakoo? Anza kuvaa designer clothes, utakutana na manguo nyingi sana za Calvin Klein, Tommy Hilfiger, Levi's nk ambazo zimetengenezwa Kenya. Umesikia bongolala?


