Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Fungua link soma kazi yangu nikukupa data na kazi yako ninkufungua na kusoma 🤣👇Ebu open hiyo tweet utuambie inasema nini kama wewe ni mwanaume kweli🤣😂🤣
Jambo leo haya piga makofi mukishindwa kwenye mambo muhimu munakimbilia kwenye upuuzi 🤣🤣🤣🤣
Fungua link soma kazi yangu nikukupa data na kazi yako ninkufungua na kusoma 🤣👇
Hii data ndio hutaki kufungua ukasoma au ushafungua ukaona kuna shida kubwa sana 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇au ushahamisha magoli tayariBetween February 2020 na September 2021 gani ndio recent?🤣🤣😂🤣
I trust the one for September 2021 more than that blank tweet of 2020🤣😂🤣
View attachment 2557997
Dhaifu gani? Ati only 3.2M customers are connected to electricity in Tanzagiza compared to 8.91M in Kenya?😂😂🤣😂Jambo leo haya piga makofi mukishindwa kwenye mambo muhimu munakimbilia kwenye upuuzi 🤣🤣🤣🤣
Ifike hatua muanze kukubali madhaifu yenu 😆😆
Nenda Athi River EPZ, you'll take back your wordsInapendeza sana, Kenya wana la kujifunza hapa.
Hii data ndio hutaki kufungua ukasoma au ushafungua ukaona kuna shida kubwa sana 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇au ushahamisha magoli tayari
Hebu soma vzr wateja ni 3.2m wateja lakini data yenu inaonesha sio wateja watu waliofikiwa na umeme ni 8m maana yake wamechukua population na sio customersDhaifu gani? Ati only 3.2M customers are connected to electricity in Tanzagiza compared to 8.91M in Kenya?😂😂🤣😂
Kenya
View attachment 2557998
Tanzagiza
View attachment 2558000
Wanadhani hao pekee ndio wanashona manguo😂😂Nenda Athi River EPZ, you'll take back your words
Kusoma ndio hujui ama? Ama ni vile nimekupeleka mbio Hadi sasa akili imeanza kujichanganya?😂😂🤣🤣😂Hebu soma vzr wateja ni 3.2m wateja lakini data yenu inaonesha sio wateja watu waliofikiwa na umeme ni 8m maana yake wamechukua population na sio customers
So nyumba moja au mteja mmoja anaeza kua na familia ya watu 5 mpaka 10 hebu piga hesabu hapo alaf uniambie🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 sisi tunalakujifunza kenya labda namna ya ku survive kwenye worse slumsNenda Athi River EPZ, you'll take back your words
They think life revolves around TanzaniaWanadhani hao pekee ndio wanashona manguo😂😂
Alafu kwanza wanaringa na kampuni za kutoka Kenya😂😂🤣They think life revolves around Tanzania
Tanzania's textile industry haiwenusa ya Kenya hata robo. Mibongolala kwa kujiliwaza hawajamboAlafu kwanza wanaringa na kampuni za kutoka Kenya😂😂🤣
Pia ukimwuiza mtanzania yeyote, nchi gani Africa yenye njaa jibu ni KenyaUkimuliza mtanzania yeyote outside Dar ati flyover ni nini? Hawawezi kakujibu, hata hiyo flyover kwanza ndio hawajaiskia😂😂😂
Customers inclusive population ya nyumba moja moja ndio kilichochukuliwa hapo lakini kwetu wamechukua customers only 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 acha wajifurahishe kidogo manake tanzania hua inashtukiza sana kwenye maendeleo acha kidogo wajidanganye sisi tusoge watashtuka kumekucha watafute shukaPia ukimwuiza mtanzania yeyote, nchi gani Africa yenye njaa jibu ni Kenya
Kampumi gani ??? 🤣🤣🤣🤣🤣Alafu kwanza wanaringa na kampuni za kutoka Kenya😂😂🤣
Na yet munavaa nguo kutoka tanzania na m baya zaidi mpaka SGR nguo zote zimetoka tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣Tanzania's textile industry haiwenusa ya Kenya hata robo. Mibongolala kwa kujiliwaza hawajambo