Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu soma vzr wateja ni 3.2m wateja lakini data yenu inaonesha sio wateja watu waliofikiwa na umeme ni 8m maana yake wamechukua population na sio customers

So nyumba moja au mteja mmoja anaeza kua na familia ya watu 5 mpaka 10 hebu piga hesabu hapo alaf uniambie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe hata gate ya nursery ulikanyaga kweli.....jeez
 
Bongolala wacha kujiliwaza. Learn something called international trade. Nyinyi kutuuzia a small batch of low quality clothes doesn't mean a lot. Some of these things are done in the spirit of the East African Community. That doesn't change the fact that Kenya has the largest textile industry in the region
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 textile gani sijawah kuona nguo inatoka kenya kuja tanzania sijawah kuona ila nishaona nguo zinatoka tanzania kuja kenya mpaka kwenye mashirika yenu makubwa mfano SGR
 
KUNDUSNTAN REPUBLIC

1679231430362.png
 
Bongolala wacha kujiliwaza. Learn something called international trade. Nyinyi kutuuzia a small batch of low quality clothes doesn't mean a lot. Some of these things are done in the spirit of the East African Community. That doesn't change the fact that Kenya has the largest textile industry in the region
Labda textile mavi ndio mlionazo nyinyi 🤣👇
Kazi yenu kujisifia uongo wakat mambo kwa ground yanawaumbua kila siku

Bongolala wacha kujiliwaza. Learn something called international trade. Nyinyi kutuuzia a small batch of low quality clothes doesn't mean a lot. Some of these things are done in the spirit of the East African Community. That doesn't change the fact that Kenya has the largest textile industry in the region
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nijifunze nn kutoka kwako wewe wakat viwanda vyote kenya vimekufa 🤣🤣🤣 kuna kiwanda gani cha sukari kenya kinafanya kazi vzr karibu zote zimekufa mumebakia kununua sukari kutoka uganda
 
Bongolala wacha kujiliwaza. Learn something called international trade. Nyinyi kutuuzia a small batch of low quality clothes doesn't mean a lot. Some of these things are done in the spirit of the East African Community. That doesn't change the fact that Kenya has the largest textile industry in the region
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 fikeni wakat mubadilike sasa dunia inawatupa mkono mutabakia kuumbuka kila siku
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 textile gani sijawah kuona nguo inatoka kenya kuja tanzania sijawah kuona ila nishaona nguo zinatoka tanzania kuja kenya mpaka kwenye mashirika yenu makubwa mfano SGR
Utajuaje wakati wewe unanunua nguo kuu kuu Kariakoo?

Kenya Tunatengeneza designer clothes sold all over the world
images - 2023-03-19T161115.081.jpeg
images - 2023-03-19T162029.425.jpeg
 
Back
Top Bottom