Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Customers inclusive population ya nyumba moja moja ndio kilichochukuliwa hapo lakini kwetu wamechukua customers only 🤣🤣🤣
Hiyo inclusive yako Iko wapi hapa? Ama hiyo umechimba kwa kaburi la Magufuli?😂😂🤣😂

20230319_145539.jpg
 
In million tena in the brackets customers inclusive pupulation of each house 🤣🤣🤣
Endelea kulia wakati Kenya 8.9M customers wako na stima while Giza republic only 3.2M customers have electricity 😂😂🤣😂
 
In zanzibar kumbe iko wapi ya tanzania bara ?? Manake munavaa nguo kutoka tanzania mpaka SGR yenu uniforms zote zimetoka tanzania au unabisha 🤣🤣🤣
Zimetoka kwa kampuni za Kenya operating in Tanzagiza 🤣🤣😂🤣
 
Endelea kulia wakati Kenya 8.9M customers wako na stima while Giza republic only 3.2M customers have electricity 😂😂🤣😂
Ukweli ndio huo utake usitake lakini huo ndio ukweli 🤣🤣🤣
 
Inatuumiza aje wakati tutapata cheap gas? Ukipata chance ya kununua something cheap utaumiaje?Akili hauna wewe😂😂🤣😂
Naomba wote wakeya mnunue taifa gas wote muendelee kutumia taifa gas ili mtanzania afanye makubwa sana manake huku ana meli kubwa ya kubeba gas nunueni taifa gas tununue meli nyingine sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
 
Na yet munavaa nguo kutoka tanzania na m baya zaidi mpaka SGR nguo zote zimetoka tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣
Bongolala wacha kujiliwaza. Learn something called international trade. Nyinyi kutuuzia a small batch of low quality clothes doesn't mean a lot. Some of these things are done in the spirit of the East African Community. That doesn't change the fact that Kenya has the largest textile industry in the region
 
Back
Top Bottom