Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hold on.. heb taja assets za Akothee na mimi nikutajie za Platnumz. Hii itabidi uchukue A list artists wote wa kenya kumsaidia Akothee battle na DiamondSasa hasira za nini? Akothee ni tajiri kuliko wasani wote wa Tanzania. Nyinyi wajinga mnadhani utajiri unaangaliwa Kwa kutumia views na YouTube subscriptions? 😂😂😂🤣 Wealth is measured by the assets someone owns. No Tanzanian can come close to Akothee, tofauti na TV station na Radio station, ni asset gani tena Diamond Ako nayo?😂😂🤣
Uthibitisho wako ni Nigerian article.? 🤣🤣.. Akothee hana hata robo ya utajiri wa Platnumz in case you don't knowAkothee is richer than all Tanzanian artists, end of story.
Huku Bongo FB ni mtandao wa washamba hakuna msomi wala mjanja yeyote Bongo anaependelea kutumia FB, ukitaka battle na sisi kuhusu social media, tuchek Instagram+ YouTube.Is FB not a social media? Ama Social media ni YouTube pekee?😂😂🤣.
Nimekuambia mkipata TV station Tanzania with a more cumulative social media subscribers than Citizen mniambie.
Yaani kinachokushushua hapo ni Kwa sababu ni mzungu 🤣🤣🤣🤣
Let me take you direct to number seven. Respond with any Diamond investment worth $50M😂😂😂Uthibitisho wako ni Nigerian article.? 🤣🤣.. Akothee hana hata robo ya utajiri wa Platnumz in case you don't know
Tanzania ni kubwa mara 3 ya Kunyaland.Nchi maskini zaidi Africa😂😂
Sasa huku Kenya Instagram na TikTok ni ya watchmen like The best 007 and house girls. Serious people doesn't use Instagram in Kenya.Huku Bongo FB ni mtandao wa washamba hakuna msomi wala mjanja yeyote Bongo anaependelea kutumia FB, ukitaka battle na sisi kuhusu social media, tuchek Instagram+ YouTube.
Kwa hiyo? Kwani hiyo reserves Yenu inakidhi import bill yenu? Ku toil kuko pale pale
🤣🤣🤣🤣 Mbona unaji contradict mzaee.? Kwenye ile article ya ki Nigeria akothee katajwa kuwa na utajiri wa 6$ million, hii article nayo inamtaja kumiliki mijumba in Zurich yenye thamani ya 50$ million 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.. kanye ukoLet me take you direct to number seven. Respond with any Diamond investment worth $50M😂😂😂
View attachment 2553460
hii ki mji yenu ya dar itapitwa na Mombasa city very soon
Our rich artists dont floss like tanzanians for KRA purposes....hehe.If you gerrit you gerritSasa hasira za nini? Akothee ni tajiri kuliko wasani wote wa Tanzania. Nyinyi wajinga mnadhani utajiri unaangaliwa Kwa kutumia views na YouTube subscriptions? 😂😂😂🤣 Wealth is measured by the assets someone owns. No Tanzanian can come close to Akothee, tofauti na TV station na Radio station, ni asset gani tena Diamond Ako nayo?😂😂🤣
Wewe ndio unajichanganya😂😂🤣😂, her cumulative wealth in Kenya ni $10M, her wealth in Switzerland ni $50M. Ni nini huelewi hapo?😂😂🤣😂🤣🤣🤣🤣 Mbona unaji contradict mzaee.? Kwenye ile article ya ki Nigeria akothee katajwa kuwa na utajiri wa 6$ million, hii article nayo inamtaja kumiliki mijumba in Zurich yenye thamani ya 50$ million 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.. kanye uko
Mtu ana wealth ya $10 halafu ana jumba Moja la $50 vichekesho haviwezi Isha KenyaWewe ndio unajichanganya[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23], her cumulative wealth in Kenya ni $10M, her wealth in Switzerland ni $50M. Ni nini huelewi hapo?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
View attachment 2553474
Ukiona mbwa wa kikunya hatoi link stuka.Let me take you direct to number seven. Respond with any Diamond investment worth $50M[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2553460