ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Haya fanya utoke sasa 🤣🤣🤣🤣Ebu leta any recent Forbes article (2021-2023) yoyote inaweka any Tanzanian ahead of Akothee, ulipata natoka JF for good 🤣🤣😂
Haya fanya utoke sasa 🤣🤣🤣🤣Ebu leta any recent Forbes article (2021-2023) yoyote inaweka any Tanzanian ahead of Akothee, ulipata natoka JF for good 🤣🤣😂
Is this official link from forbes ???🤣🤣🤣🤣Akothee ndio mama wa all East African Artists.
View attachment 2553069
Na huwez sikia watu wanaongea hapa kijana kazaliwa 1989 around 33 yrs🤣🤣 unafananisha na lile bibi lizee over 40yrs seriousEbu leta any recent Forbes article (2021-2023) yoyote inaweka any Tanzanian ahead of Akothee, ulipata natoka JF for good 🤣🤣😂
Sorry, hii ni list ya Forbes?😂😂😂 This was a list compiled by Apoko. Huyo hananga akili tu kama wewe😂😂😂Haya fanya utoke sasa 🤣🤣🤣🤣View attachment 2553070
Baada ya kubandika haya mapicha yote nenda jumatatu kamuunge mkono "baba" kwenye maandamano kupunguza makali ya maisha ya nyang'au🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 ni kweli hana akili 12m vs 8m naona 8m ni kubwaSorry, hii ni list ya Forbes?😂😂😂 This was a list compiled by Apoko. Huyo hananga akili tu kama wewe😂😂😂
Unafkiri anapokea bei gani youtube 🤣🤣Sorry, hii ni list ya Forbes?😂😂😂 This was a list compiled by Apoko. Huyo hananga akili tu kama wewe😂😂😂
Who is see Africa today? Is that Forbes?😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2553081
Nimekuuliza hii ni Forbes?😂😂🤣🤣🤣🤣 ni kweli hana akili 12m vs 8m naona 8m ni kubwa
View attachment 2553083
Reference wanazitoa forbes 🤣🤣🤣Who is see Africa today? Is that Forbes?😂😂🤣
Soma kwanza uelewe reference wanazitoa wapi ??🤣🤣👇👇👇Nimekuuliza hii ni Forbes?😂😂
Ebu tuonyeshe penye wametoa reference 😂🤣😂Reference wanazitoa forbes 🤣🤣🤣
According to Wikipedia?🤣🤣😂Soma kwanza uelewe reference wanazitoa wapi ??🤣🤣👇👇👇View attachment 2553085
Then google is ur friend nimekupa ushahidi wa kutosha ukitaka chukua huwez acahana nao ila ukweli uko pale pale 🤣🤣🤣Ebu tuonyeshe penye wametoa reference 😂🤣😂
According to forbes / wikipedia / IMDB au hzo zingine hujaziona 😆😆👇👇👇According to Wikipedia?🤣🤣😂
Even alikiba ana networth of $7mAccording to Wikipedia?🤣🤣😂
Ona vile Diamond alilia after kushindwa na Akothee, so wewe unajua zaidi kuliko Diamond mwenye aliona hiyo ranking akajaribu kukosoa Forbes?🤣🤣😂😂Even alikiba ana networth of $7m
Prof jay over $7m
Na huwez sikia hata tunaongea humu ndani🤣
Akothee anajulikana na nani 🤣🤣🤣 watu wana pesa na umaarufu juu na wametuliaAccording to Wikipedia?🤣🤣😂
Kwann asikosoe au hana haki and that was 2017 🤣 na sasa wanamtambua ni nani na africa inamjua ni nani vile vileOna vile Diamond alilia after kushindwa na Akothee, so wewe unajua zaidi kuliko Diamond mwenye aliona hiyo ranking akajaribu kukosoa Forbes?🤣🤣😂😂
View attachment 2553091