IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,284
- 9,448
Comment zao sasa🤣🤣🤣🤣
Brathe tunanunua beer moja 250 - 500 Kwa club sasa shilingi mbili ikuwe issue? Tumezoea, tulia. Pilipili usioila yakuwashiani!?
Comment zao sasa🤣🤣🤣🤣
I thought we were supposed to see the best schools, not all random schools, what happened to the criteria
Ww ndinda watu wanaandamana kwa njaa ww unawaonesha chakula kweli??🤣🤣 hvi kwann muna maksudi lakini wajameni
Same schools. Hakuna kipya. Issue za shule tumeshamaliza. Tuendelee na mambo mengine.
Sasa mm hapo nahusikaje surely mbona munapenda kunionea kila kitu ichoboy hebu nipumzisheni basi 😆😆😆😆This explains why kina jichoboi and the rest behave the way they do… you can imagine how a common school kina jichoboi attended looks like and figure out why wako vile wako sai 🤣
Umezoea na nani wakat munalia kila kona kwa ugumu wa maisha 🤣🤣🤣🤣Brathe tunanunua beer moja 250 - 500 Kwa club sasa shilingi mbili ikuwe issue? Tumezoea, tulia. Pilipili usioila yakuwashiani!?
Kwahiyo katiba mpya imeshindwa kuwapatia haki zenu.Watu wanaandamana kupigania haki zao, kuuana wameuana kwa akili zako.
🤣🤣🤣🤣🤣Brathe tunanunua beer moja 250 - 500 Kwa club sasa shilingi mbili ikuwe issue? Tumezoea, tulia. Pilipili usioila yakuwashiani!?
Picha zenu mnazopost humu hazizidi tano, ni hizo mnazizungusha on a daily basis.
🤣🤣🤣🤣🤣Brathe tunanunua beer moja 250 - 500 Kwa club sasa shilingi mbili ikuwe issue? Tumezoea, tulia. Pilipili usioila yakuwashiani!?
Hamuwezi comment anything positive?kwahyo shuke zote za Tz ni mbaya zenu zote ndio nzuri?Acha ujinga wakoOnly in Tanzania shule zinakaa rentals..zero aesthetics na functionality