Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakituona tumekaa kimya wanadhani wapo juu yetu. Wakenya kichwani hawana akili.
kichaa mmoja kauliza eti chemistry wanasoma kwa kiswahili? πŸ˜‚πŸ˜‚ na yupo humu jf ni expert member kabisa lakini haijui Tanzania mpaka leo, sijui wanatuchukuliaje, wanayo Tanzania yao kichwani ndogo kama akili zao ndio wanatumia kujifariji, nina imani wengi hawajategemea kama hizi shule tulizoapload humu zipo Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wana mentality watoto wote wa matajiri Tanzania hupelekwa Kenya kufuata elimu bora πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Zimewekwa shule zaidi ya 200 humu kutoka Tz, lkn wao wanaweka kashule kamoja wanajificha, baadae mtu anaweka tena kashule kale kale, sasa hiyo ni battle au upuuzi.
wasiwe na wasiwasi bado zipo shule nyingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yaani 1:20 wiano wakiweka 1 tunaweka 20 na bado hawatukuti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Achana na Egypt tunazungumzia Kenya na Tz, kwenye hiyo ramani inaonesha Kenya kuna maskini wengi kuliko Tz na ukiangalia uhalisia pia iko hvyo hvyo.
So kuhusu Egypt kuwa na idadi nyingi ya masikini kuliko Tanzania kwenye hiyo map haina 'uhalisia'?

Mibongola kwa kujiliwaza hamjambo
 
Hebu tuwekee picha za Ilala za 2023 tuone basi. picha tano hivi si mbaya πŸ˜‚
 
Mara ya kwanza mwaka juzi walileta hii battle tukawachakaza vibaya wakakimbia lkn ujinga wao ni kwamba huwa wanajizima data zen wanaanza tena taratibu kuongea kuhusu shule. Hawa wapuuzi hata battle ya hospitali walishindwa vibaya sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…