The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Anaweka Buguruni anaita ilala, alafu anajifariji anaijua Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata Pangani bado inaizidi ilala kwa mbali sana.
Ilala ni uswazi tu View attachment 2550736View attachment 2550737View attachment 2550738View attachment 2550739
Achana na Egypt tunazungumzia Kenya na Tz, kwenye hiyo ramani inaonesha Kenya kuna maskini wengi kuliko Tz na ukiangalia uhalisia pia iko hvyo hvyo.Sasa wewe pia unaamini kwamba both South Africa and Egypt wako na masikini wengi kuliko Tanzania kulimgana na ile map? Mbona hampendi kuelimishwa?
Panya anamtishia Tembo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa group stage pia ni kitu ya kupigia kelele? Siku hizo timu zenu zitakutana na Gor Mahia tena ndio mtajua they are just pretenders.
Tofauti ni aina ya masomo yanayofunzwa hapo,UDSM wanaandaa wataalamu apo wanafundisha kusoma na kuhesabuLight Academy .....Mombasa.........hii hata UDSM Haifikii
Huyu anayeongea hivi ni mkenya na hapo anaiongelea Kenya hii hii inayowekwa humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Those are not best pictures za Nairobi for your information. Hapo nimeweka hadi picha za Githurai, Kayole na Kariobangi which most publications consider as slums. Sasa nikiweka za Runda, Muthaiga na maeneo kama hayo utasemaje? [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Team hazilipi wachezaji na hamuna vyoo kwann musile ban [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Who cares.Baboon tumia akili[emoji23][emoji23][emoji23], Kenya was banned by FIFA and that's why Gor is not in those competitions. Why is Russian teams not in Eufa Champions League, EUROPA League and Conference Cup?
Kuna kima mmoja alisema kuna shule yao 1 haifikii hata uzuri wa vyuo vyetu, natamani ajichanganye aanzishe battle ya vyuo, aanze na training centers, colleges and universities aone cha mtemakuni ila najua hawauwezi huu motoHii mada ya shule za sekondary tunaifunga leo rasmi, kwamba wakenya wametepeta. Tumezungukia nchi nzima ya Tanzania tumiewaonesha japo 10% ya shule zilizopo.
Nawasihi Kundustan wajipange upya.
Hakuna kitu Kenya wanaipita Tanzania kuanzia kwenye offices za serikali, hospitals, colleges, universities, schools, mahakama etcKenya nzima hakuna shule kama hii.
Hata wao wanalijua hilo, ila kama kuna anayebisha ajikune aone moto.Hakuna kitu Kenya wanaipita Tanzania kuanzia kwenye offices za serikali, hospitals, colleges, universities, schools, mahakama etc
Wewe ni mtoto na hujielewi. Kama unasema ni timu moja moja ndio inaenda, ebu tuambie ni timu gani hiyo ilienda na walifika wapi.Usifanye sisi watoto humu.
Mlipigwa ban mwaka jana 2022 (Jan/Feb)
Ukiangalia log ya ligi yenu, girl maria hakuwa na nafas yoyote ya kucheza CAF competition
Timu zenu zinaingia nafas moja moja in CAFCL (bingwa wa ligi) na CAFCC (nafas ya pili ligi)
Msimamo 2021/2022 (msimu mliopigwa ban)
View attachment 2550780
Msimamo 2020/21 (msimu kbl ya ban)
View attachment 2550781
Hiii discussion ilifaa isiwepo tunajadili vipi na team ambazo hata hazishiriki mashindano ya kimataifa.?Wewe ni mtoto na hujielewi. Kama unasema ni timu moja moja ndio inaenda, ebu tuambie ni timu gani hiyo ilienda na walifika wapi.
Panya anamtishia Tembo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikiwa Uganda tu hamuifikii kwa lolote kwenye soka lkn timu yao imepigwa home and away na timu ya Tz, ndiyo itakuwa timu zenu hizo mnazookotana mitaani.